4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
haki ya kuua wayaudi ? kuna tofaut gan kati ya dini yenu na ufreemason?Muislam kufa katika kupigania haki yake ndiyo kitu anapenda.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haki ya kuua wayaudi ? kuna tofaut gan kati ya dini yenu na ufreemason?Muislam kufa katika kupigania haki yake ndiyo kitu anapenda.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
US anahasira na hamas kashikilia mateka raia wake na wengine kaua mwingereza anauchungu na raia wake waliokufa tamashani yaani watu wanaghazabu sana na zile pimbiAache propaganda,ikawaje aombe msaada US?
Vita ya nyumba Kwa nyumba,kitanda Kwa kitanda kama kampeni za CCM haziwezi.
why hii hoja inapata nguvu? Kwamba it was a planned mistake? Kwamba Israel ni perfect hawakoseagi?kulikuwa na mtego na uuzwaji wa ramani kwa Hamas waingie kingi ili Israel afanye total occupation ya Gaza.
Waongo, wanauwa wanawake na watoto wadogo tu.SERIKALI ya Israel imesema jeshi lake limeshambulia mamia ya malango huko Ukanda wa Gaza usiku kucha baada ya Waziri Mkuu Benjamin Ntenyahu kusema kuwa majeshi ya nchi yake yalikuwa katika mwanzo wa mapambano dhidi ya wanamgambo wa Hamas.
VOA imeripoti kuwa, Msemaji wa jeshi nchini Israel, Richard Hecht amesema kwamba miili 1,500 ya wapiganaji wa Hamas imepatikana ndani ya eneo la Israel kufuatia uvamizi wa Jumamosi, na kwamba hakuna mwanamgambo aliyevuka na kuingia Israel tangu Jumatatu.
Miongoni mwa maeneo yaliyolengwa na Israel ni pamoja na ujirani wa Rimal ulioko Gaza City, ambao ni makazi ya wizara na majengo ya serikali ya Hamas. Katika hotuba yake Jumatatu, Ntenyahu alisema kwamba, “Kile watakachokifanya kwa adui wetu kitakumbukwa kwa vizazi vijavyo.”
Hamas kupitia msemaji wake ilisema kwamba wapiganaji wake wanaweza kuwaua mateka wa Israel 150 wanaowashikilia, mmoja baada ya mwingine kila wakati Israel inapowalenga raia bila kutoka tahadhari. Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant kupitia taarifa ya Jumatatu alisema kwamba Israel ingekatiza huduma zote muhimu kwa Gaza zikiwemo umeme, chakula, maji na gesi.
watauawa mmoja baada ya mwingine, kama siku saba tu hizi wamekufa hamas 1500 hadi kufika mwisho wa mwezi huu watakuwa wamepukutika wote.[emoji298][emoji298] BREAKING NEWS
Kuna taarifa mbaya sana inayosambaa mitandaoni kuwa miili ya watoto wadogo wa Israel wapatao 40 imekutwa imechomwa moto huku mingine ikiwa imekatwa vichwa katika moja ya kijiji kilichokombolewa na Israel kutoka kwa Hamas.
Inasemakana watoto hao walichomwa moto wakiwa hai.
If this news is true, basi
Mwenyezi Mungu azilaze Roho za malaika hawa mahala pema peoni Amina.View attachment 2778197View attachment 2778198
raia wameondoka kaskazini, itachukuliwa sasa hakuna raia, yeyote atakayejitokeza awe na sare za jeshi au la, atachukuliwa kama ni hamas, ni risasi tu. tunajua kuna mahandaki, watakaa chini ya ardhi, watakual chakula kingi walichokuwa wame accummulate, maji na vitu vingine, watatumia na silaha zote, vikiisha, wataamua aidha wafie shimoni au watoke nje wapigwe risasi.Waongo, wanauwa wanawake na watoto wadogo tu.
Madhara ya nyuklia huenda mbali zaidiWaparestina na Waisrael wangepewa silaha za nyuklia wauane,ingekuwa poa sana
Hamas wajinga sana yaan ushindane na aemilki dunia utaweza kweli.raia wameondoka kaskazini, itachukuliwa sasa hakuna raia, yeyote atakayejitokeza awe na sare za jeshi au la, atachukuliwa kama ni hamas, ni risasi tu. tunajua kuna mahandaki, watakaa chini ya ardhi, watakual chakula kingi walichokuwa wame accummulate, maji na vitu vingine, watatumia na silaha zote, vikiisha, wataamua aidha wafie shimoni au watoke nje wapigwe risasi.
hamas walichokuwa wamepiga hesabu ni kwamba, waliweka silaha nyingi na vyakula wakitegemea watasumbua kwa muda mrefuuu na kwasababu wapo katikati ya raia israel wataua pia raia, dunia itailaumu sana israel na kuilazimisha kusitisha mashambulizi gaza. Israel baada ya kujua hilo, ametoa amri raia waondoke gaza ili abaki na hamas, uzuri wake, raia hadi sasahivi wameondoka zaidi ya robotatu, kwahiyo pale wakiamua kulipua jengo, wakiamua kutupa bomu litakalogeuza ardhi chini juu juu chini, watafanya hivyo kwa uhuru kwasababu dunia imeshajua wamesubiri raia waondoke.
pia, hiyo itapunguza kelele za dunia kwamba wamekata maji, umeme na mafuta, watauliza mnataka turudishe umeme, maji, mafuta na supply ya chakula akale nani wakati raia wameondika? hapo ndipo hamas watakuwa na kilio na kusaga meno. mwisho wao umeshafika.
Iran Sio wajinga watafutwa kwenye uso wa Dunia wakifanya hivyoHii vita ya kwenye mitandao, data za kupikwa, huyu kaua 1500 huyu kachoma watoto wakiwa hai, wakuu hizi habari haziingii akilini, kuna muda naangalia aljazeera nabaki kucheka wanavyokimbia na vi ambulance vyao na vimlipuko vya hapa na pale 😂😂😂, kwani Iran si ana nyuklia ampe palestina na muizael akatafute anakojua tuone ardhi ikibaki tambarare
sio tuu marekani inaikinga Israel bali inalipa fadhila kwa myahudi Albert Eistein mvumbuzi wa Bomu la nuklear ambalo limeipa marekani umwamba wa dunia. hivi sasa hivi mataifa yote ya EU yapo nyuma ya Israel. Israel atapeleka ndege mia sita kubamiza Gaza north na kuacha jangwa wiki ijayo. Benja hatanii. Iran hana lolote kachinjiwa wanasayansi wake hukohuko teheran na hakufanya lolote. leo hii eti anataka kutia pua Gaza!!!Marekani kuna Wayahudi kibao pale, na wengi ndo ma-don wenye mkwanja wao, Elon Musk mwenyewe ana nasaba ya Kiyahudi, ulitaka wafanyeje?
Halafu hao HAMAS unafikiri hatujui kuwa wanasaidiwa na Arab nations, na Urusi?
walilipwa pesa na Iran kufanya matendo mabaya kwa israel. sasa marekani kamziba iran aije ingiza pua yake gaza. kichapo atakachopata hamasi ni kile cha kufutwa kabisaa katika ramani ya dunia. Benja hataniiHamas wajinga sana yaan ushindane na aemilki dunia utaweza kweli.
Hamasi
Walifanya calcution vibaya sana.
Damu ya muisraeli mmoja huwa inarudi na damu mia
Na waislamu wenzao wamewasusia kutounga mkono ugaidi wao wacha wafutwe kabisa wawahi bikira kuzimuwalilipwa pesa na Iran kufanya matendo mabaya kwa israel. sasa marekani kamziba iran aije ingiza pua yake gaza. kichapo atakachopata hamasi ni kile cha kufutwa kabisaa katika ramani ya dunia. Benja hatanii
Acha kuiingiza tz yetu acha tupelekane kama mambuzi acha wafyekane wee ikibidi wasaidiwe silahaa waishe maana dunia haina cha kufanya ishort wamechoka ugali overTunataka amani sisi ni wanadamu.
Leo waislamu watashabikia Ukraine ila Mimi nitashabikia palestina sababu hakuna umuhimu wa kugombea ardhi.
Mbona ngorongoro tz waislamu mumenyamaza
Jeshi limejaa mashogaIsrael anawapiga bila kujali nani anakufa
Duh,!!Waparestina na Waisrael wangepewa silaha za nyuklia wauane,ingekuwa poa sana