Miili ya waliofariki Kariakoo ikiwa tayari kwa kuanza kuagwa

Miili ya waliofariki Kariakoo ikiwa tayari kwa kuanza kuagwa

Serikali ya awamu ya sita imesavabisha mauaji Kwa kuruhusu ujenzi holela usiofuata taratibu za ujenzi.huyu mama ajiuzulu
Unajua hilo ghorofa limejengwa lini?...Tatizo kubwa la nchi hii ni rushwa, watoa vibari wanapokea hongo bila hata kujisumbua kwenda huko Site!, kama vile viongozi wetu wanavyosaini mikataba,yeye ni kuchungulia kwa account kiasi kilichoingia basi anasaini makaratasi Watanganyika mtajijua wenyewe.
 
Miili ya waliofariki Kariakoo ikiwa tayari kwa kuanza kuagwa💔🕊View attachment 3155384
Daa jamaa wameamka asubui siku ya jmoss fresh tu,hakuna hata mmoja aliekuwa anajua kuwa baada ya siku mbili toka ile saa 12 walipoamka kwamba wangekuwa ndani ya jeneza siku ya j3 au hakuna aliejua kuwa kesho yake wangeamkia mortuary,maisha ni kumcha Mungu hakuna ajuae saa ya kutwaliwa.
 
Yaani nadhani mpaka jana mama Kizimmkazi kupiga mkwara mwenye jengo akamatwe, alikuwa kitaani tu huru.
Sasa si mdeal nae kwa codes za mtaani tu.... maana hapo yeye deep down wala hajali, na hapo ukute ana vyanzo vingine vya mapato so hiyo kodi atayokosa hapo haiwezi kumtikisa kiuchumi
 
Siku moja kabla ya jengo kuanguka nilienda pale kuomba kibarua, wakati nasubiria subiria nikapigiwa simu niende mtaa wa Arusha kuna kazi.
Sasa najiuliza pale ningèpata kazi sijui ningekuwa marehemu au ningeokolewa
Ungekuwa unagonga mabikra 72
 
Back
Top Bottom