Miili ya watu 20 yakutwa katika Jangwa Nchini Libya

Miili ya watu 20 yakutwa katika Jangwa Nchini Libya

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Libya.JPG
Miili ya watu 20 imepatikana katika Jangwa Nchini Libya, ambapo waliookota miili hiyo wanaamini marehemu walipoteza maisha kwa kiu.

Dereva wa lori ambaye alikuwa akipita jangwani hapo ndiye aliyeanza kuiona miili hiyo ikiwa kilometa 320 kutoka Mji wa Kufra na Kilometa 120 kutoka mpaka wa Chad.

“Tunaamini dereva wao alipotea, na simu yao ya mwisho ilitumika siku 14 zilizopita,” anasema muhudumu wa afya, Ibrahim Belhasan. Eneo hilo lina nyuzi joto 40.

===

Twenty people found dead in Libyan desert
The bodies of 20 people who got lost in the Libyan desert have been found, according to rescuers, who presume the group died of thirst.

The bodies were discovered by a truck driver travelling through the desert and were recovered on Tuesday about 320 kilometres (198 miles) southwest of Kufra and 120km (74 miles) from the border with Chad.

“The driver got lost … and we believe the group died in the desert about 14 days ago since the last call on a mobile phone there was on June 13,” Kufra ambulance chief Ibrahim Belhasan said by phone on Wednesday.

The sparsely populated region regularly sees summer temperatures above 40 degrees Celsius (104 Fahrenheit).

The ambulance service published a video on Facebook showing decomposing bodies in the desert sand near a pick-up truck.

Two of the bodies were Libyans and the others were believed to be migrants from Chad crossing into Libya, Belhasan said.

SOURCE: AL JAZEERA AND NEWS AGENCIES
 
Najaribu kuwaza,mmeshazunguka karibu masaa 6 hamuoni njia,mafuta yamekwisha,kila mtu simu yake imeisha chaji,hamjui mlikotoka wala mnaokoenda.Ni kifo kibaya sana,kwani unamuona mmoja baada ya mwingine akiondoka, na wewe unakaa ukisuburi tu saa yako ifike kwani hakuna hata anayeweza kumsaidia mwenzake,hapa kama mkipona ni kwa neema ya Mungu tu...
 
Wanawake was kilibya wakishangilia anguko na kifo Cha kanali gadafi
Screenshot_20220403-072724-01.jpg

Wao walikua wakidai kuvaa nusu uchi! Walishakubali kuharibu utamaduni wao! Hata kuolewa wawili hawakutaka Tena. Huwezi jua pengine Ni sawa. I'la leo kila mlibya hulilia siku za kabla ya maasi ya 2011
 
Waliokufa huko jangwani mungu awake palipo pema. Pengine wao pia walikua dhidi ya kanal gadafi. Ile demokrasia waliotaka imeshawapata.
Walibya walisahau ama pengine hawakuwahi kufikiri kumbe hata Marekani hapakuwahi kuwa na Uhuru walioutaka!
Vyombo vya habari"
Uzandiki dhidi ya Libya"
Huko Kuna Uhuru TU wa wanaume kupandana lakini Hakuna Uhuru walioamini Ni Uhuru.
Walibya furahieni uhuru
 
Alaaniwe Gaddafi, kuondoka kwa dikteta suku zote huacha ombwe kubwa kwa sababu huwa wana tabia ya kuharibu mifumo yote ya kitaasisi wanapokuwa madarakani
Wanawake was kilibya wakishangilia anguko na kifo Cha kanali gadafiView attachment 2277951
Wao walikua wakidai kuvaa nusu uchi! Walishakubali kuharibu utamaduni wao! Hata kuolewa wawili hawakutaka Tena. Huwezi jua pengine Ni sawa. I'la leo kila mlibya hulilia siku za kabla ya maasi ya 2011
 
Waliokufa ni raia wa Chad wanaokimbia hali ngumu kutoka kwa udikteta wa Chad

Back
Top Bottom