Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wajuvi humu wangetusaidia, hii ni JAMII FORUMS, kwanini kama mwanajamii ninyimwe haki kushiriki kwa kuuliza, au kutoa maoni yangu?!Soma katiba utajua ni lini atakaimu nafasi
Hahaha wananinyima haki nimeomba wanitoe, au wanipe jinsi ya ku left, hii ni jamii forums, jukwaa letu kwanini tunaongozwa kufikiri sawa na moderators?!Kanyaga twende mkuu usiogope.my be kuna pandikizi humo
Swissme
Hivi hao moderators ni watu kama sisi ama?Hahaha wananinyima haki nimeomba wanitoe, au wanipe jinsi ya ku left, hii ni jamii forums, jukwaa letu kwanini tunaongozwa kufikiri sawa na moderators?!
Wao wanatushauri tusitukane, wala kuingilia faragha ya mtu, sasa wao kwanini wafute maoni yangu?! Sijamtukana mtu
Ndio ni watu, wanadhani kuwa moderator ni kukandamiza wenzao, hawana sababu kufuta thread ya mtu kama haina matusi, na haiingilii faragha ya mtu.Hivi hao moderators ni watu kama sisi ama?
Hamna pumba...Sasa kama unaleta pumba kwanini zisifutwe...
Rubbish!
Hahahaa lumbumba’ s army took over.Hamna pumba...
Bali ukiandika uzi wenye elenent za "we speak openly" itafutwa maana siku hizi ile slogan ya JF to speak openly imegeuka kuwa WE SPEAK SECRETLY....
Haya subirini muone kama uzi huu mtaukuta kesho.Aya tumekusikia
MkuuHamna pumba...
Bali ukiandika uzi wenye elenent za "we speak openly" itafutwa maana siku hizi ile slogan ya JF to speak openly imegeuka kuwa WE SPEAK SECRETLY....
Mimi binafsi zimefutwa nyuzi zangu nyingi tu, suluhisho nikaomba niondolewe kabisa, au nifundishwe jinsi ya kutoka humu, nasubiri majibuMkuu
JF ni sehemu salama na sahihi kwa wote wanaoitumia.
Mpaka unajibu maoni ya members wengine haujasema title ya mada unayosema.imefutwa.
Ahsante