Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

Status
Not open for further replies.
Maoni yangu mnayaondoa kila nikiyatoa tatizo ni nyie au CCM?!

Nimeuliza; "Ni lini makamu wa Rais atakaimu nafasi ya Rais?" Mkafuta, muwe mnanijibu basi kabla hamjafuta maoni yangu.

Au nifungieni sio tatizo kabisa kwangu.
Mkuu sasa hapo ulitoa maoni au uliuliza?
 
Kuna vitu vinakera, mfano mtu anapoleta uzi ambao ni wa msingi na watu wakiujadili unaweza kuwapa mwanga na mwenendo wa hali halisi ya maisha, alafu ukakuta mods mnautoa alafu cha kushangaza mnaacha uzi ambao hata ukijadiliwa hauna maana yoyote mnataka sisi tuwaelewe vp?
Consider hizo screen shot tatu, mbili za muhim zimeondolewa ila moja isiyo na maana imeachwa.
Screenshot_20180310-122927.jpg
Screenshot_20180310-122517.jpg
Screenshot_20180310-122507.jpg
 
Kuna vitu vinakera, mfano mtu anapoleta uzi ambao ni wa msingi na watu wakiujadili unaweza kuwapa mwanga na mwenendo wa hali halisi ya maisha, alafu ukakuta mods mnautoa alafu cha kushangaza mnaacha uzi ambao hata ukijadiliwa hauna maana yoyote mnataka sisi tuwaelewe vp?
Consider hizo screen shot tatu, mbili za muhim zimeondolewa ila moja isiyo na maana imeachwa. View attachment 710080View attachment 710081View attachment 710082
Na huu wataufuta....
 
Wanapaswa kurekebisha T&Cs ziendane na wakati tuliopo.

Inaumiza pale unapotumia muda kutengeneza Uzi halafu unanyakuliwa. [emoji19]
 
Wanapaswa kurekebisha T&Cs ziendane na wakati tuliopo.

Inaumiza pale unapotumia muda kutengeneza Uzi halafu unanyakuliwa. [emoji19]
Mimi nimewaomba waifute ID yangu, sijaelewa kwanini hawataki?! Sijui nitukane nifungiwe permanent?!
 
JF ni kondoo waliopotea wa nyumba ya kuogopesha
Mimi siogopi na huu mtandao wanauita wa jamii, watuache wanajamii tushiriki tutakavyo, wao wamekuwa kama polisi na ccm, basi wanifunge kifungo cha maisha!
 
Jaribu kuomba ubadilishe ID nasio kufunga account.
Mimi nimeomba kufunga account, kama kuna tatizo kufunga account waniambie mimi, tatizo ni lipi kwanini wasiifunge account yangu, nimewaomba mimi muhusika
 
Jaribu kuomba ubadilishe ID nasio kufunga account.
Mimi nimeomba kufunga account, kama kuna tatizo kufunga account waniambie mimi, tatizo ni lipi kwanini wasiifunge account yangu, nimewaomba mimi muhusika
 
Wanapaswa kurekebisha T&Cs ziendane na wakati tuliopo.

Inaumiza pale unapotumia muda kutengeneza Uzi halafu unanyakuliwa. [emoji19]

Mkuu,

tucheze mziki unaochezwa na Dj kwa sasa.

Shukrani
 
Kwenu Mods,

Naombeni msinipige ban kwa kuwauliza,

Mnafuta Uzi za maana sana hapa na zenye kuelinisha umma. Mmefuta Uzi za
Bujibuji
Mwanahari Huru
BAK
Zangu
Barafu
Babylata
Kifyatu
Amoxlin
Tikatika
Msambwata (huyu amekula ban).

Mi sijaelewa mmekuwaje sikuhizi nyinyi mods, au mnataka tupost za kumsifu bwana yule?? Ile ideology/dhana ya here is the home of great thinkers IPO wapi?

Haya mambo hamuyaoni? Kwani mtu kuandika kuhusu tar 26 April ni jinai??

Mnakera sometimes
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom