Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

Status
Not open for further replies.
Sijui ni woga au kutishwa - JF wanafuta Threat bila kutoa sababu - Its naughty situation.

Tutapita tu kwenye hili lindi la weweseko
 
kuna thread nimeianzisha muda sio mrefu ila ghafla imepotea katika mazingira ya kutatanisha thread ilikuwa na kichwa "Ukristo ni utata" vipi itakuwa imefutwa na mods au vipi? nina wasiwasi ban itanihusu mana nahisi nimesema ukweli ambao mods umewakera
 
Ungeweka wa upande mwingine ungedumu zaidi na kushangiliwa
Huo umefutwa
 
Sijui nini tatizo .ata sielewi munafuta machapisho yangu mengi .je munataka nichapishe kile mukipendacho nyinyi
 
Mimi nimeandika kuhusu maaskofu kuishauri serikali nashangaa wamefuta post yangu jamii forum ushaanza kuwa mtandao wa kibashite
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom