Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

Status
Not open for further replies.
kuna thread nimeianzisha muda sio mrefu ila ghafla imepotea katika mazingira ya kutatanisha thread ilikuwa na kichwa "Ukristo ni utata" vipi itakuwa imefutwa na mods au vipi? nina wasiwasi ban itanihusu mana nahisi nimesema ukweli ambao mods umewakera
Honestly nashindwa hata kukusaidia bosi wangu.

Katika majukumu ya moderators hakuna upendeleo wala kuwa na upande dhidi ya maoni yatolewayo jukwaani.

Pia unapoanzisha thread ambayo kwa makusudi unawalenga members wakupe majibu ambayo kimsingi ungewauliza moderators

Bosi wangu jaribu kutoa maoni yasiyolenga kujenga chuki kwani moderators tunajitahidi kufanyia kazi kila pendekezo hata kwa kuchelewa kutolana na wingi wa requests lakini tunajitahidi.

Ushauri
Tumia search option andika title ya thread yako jibu litakuja haraka mkuu wangu.
 
Kwanini mnanifanyia hivi?

Mbona wengine nyuzi za kipuuzi mnaziacha wala hamuwafanyii chochote. Kwanini Mimi tu??

Au kwa vile tunapishana kauli baadhi yenu ndio mnanikomoa??

Haya na hii futeni mkipenda nipeni na ban.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Kwanini mnanifanyia hivi?

Mbona wengine nyuzi za kipuuzi mnaziacha wala hamuwafanyii chochote. Kwanini Mimi tu??

Au kwa vile tunapishana kauli baadhi yenu ndio mnanikomoa??

Haya na hii futeni mkipenda nipeni na ban.
Pole
 
Nilituma uzi wa dogo mmoja mtanzania aliyetoa game yake (iko google play) kwenye Tech forum. Waliufuta uzi. Sikuelewa. Nilikosea nini? Bado sijapata jibu.
 
Honestly nashindwa hata kukusaidia bosi wangu.

Katika majukumu ya moderators hakuna upendeleo wala kuwa na upande dhidi ya maoni yatolewayo jukwaani.

Pia unapoanzisha thread ambayo kwa makusudi unawalenga members wakupe majibu ambayo kimsingi ungewauliza moderators

Bosi wangu jaribu kutoa maoni yasiyolenga kujenga chuki kwani moderators tunajitahidi kufanyia kazi kila pendekezo hata kwa kuchelewa kutolana na wingi wa requests lakini tunajitahidi.

Ushauri
Tumia search option andika title ya thread yako jibu litakuja haraka mkuu wangu.
Subir niache tu nitaenda kupost fb,twitter au hata forum ya kenya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom