Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Hata mie siwaelewi kabisa nyuzi za kueleza ukweli zinaunganishwa au kufutwa ila sasa za bwana yule hata same content zinaachwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitaka mambo yako yaende mwimbie sifa Na kumpiga vigeregere kijimungu mtu anayejiita Just Praise Me.Kwenu Mods,
Naombeni msinipige ban kwa kuwauliza,
Mnafuta Uzi za maana sana hapa na zenye kuelinisha umma. Emefuta Uzi za Mwanahari Huru, BAK, Zangu, za Barafu na Msambwata (huyu amekula ban).
Mi sijaelewa mmekuwaje sikuhizi nyinyi mods, au mnataka tupost za kumsifu bwana yule?? Ile ideology/dhana ya here is the home of great thinkers IPO wapi?
Haya mambo hamuyaoni? Kwani mtu kuandika kuhusu tar 26 April ni jinai??
Mnakera sometimes
Ni kweli kabisa.Kwenu Mods,
Naombeni msinipige ban kwa kuwauliza,
Mnafuta Uzi za maana sana hapa na zenye kuelinisha umma. Emefuta Uzi za Mwanahari Huru, BAK, Zangu, za Barafu na Msambwata (huyu amekula ban).
Mi sijaelewa mmekuwaje sikuhizi nyinyi mods, au mnataka tupost za kumsifu bwana yule?? Ile ideology/dhana ya here is the home of great thinkers IPO wapi?
Haya mambo hamuyaoni? Kwani mtu kuandika kuhusu tar 26 April ni jinai??
Mnakera sometimes
Pamoja mkuu, nipo ila wanafuta muda wote wananitokea macho, wanapenda habari za umbea, gossip, udaku, za mapenzi ila za maisha halisi ya kodi zetu hawataki kuzionaWanapendelea sana mkuu. Naomba tukutane tar 26 April brother. Ingawa unapotea sana
Sent from my VFD 500 using JamiiForums mobile app
Wabadilike kwa kweli.Dah yani kuna nyuzi kibao zilikua nondo tupu unaziacha usiku unalala ukiamka asubuhi kitu chakwanza kabisa unaingia JF kuutafuta ule uzi wa jana usiku.
Unahaha kama mbwa koko kila kona huuoni, mwisho wa siku wenge la usingizi lilikata unagundua uzi utakuwa umetupwa kapuni.
JF mnafuta nyuzi hovyo hata zenye mijadala mizuri na ya tija kwa taifa. Cha ajabu zile nyuzi za kipuuzi kabisa ndio mnatuachia humu hazina kichwa wala miguu.
Huu uzi nao wataufuta
Asilimia kubwa sanaa wanakutana na hili tatizo.Mbona watu wanalalamika sana, mods lifanyieni kazi
Relax. Ama unataka upate kazi ya umodereta nini?Zingatieni maudhui ya nyuzi zenu. Kama zinakiuka masharti ya forum wawasaidieje?
Maudhui yàko safi kabisaaa.Zingatieni maudhui ya nyuzi zenu. Kama zinakiuka masharti ya forum wawasaidieje?