Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumba kama hizo peleka Facebook ukashee na wapaka poda wenzako.Nimeweka topic inaasema hivii '' zzk ni maarufu kuliko chadema .. Haijakaa dakika 20 imetolewa na haipo mpaka sasa ..
Huu ni ubabe na kunyimana haki sa kuongea ( write of speech)
post kama hiyo haina abuse yeyote lakini moderator anadiriki kuitoa eti kisa haitetei chadema .. This is full dictorship..
Pumba kama hizo peleka Facebook ukashee na wapaka poda wenzako.
Invisible na hawa wanaotumia shortcut mnawachukuliaje mfano "cmzr" ndio nini