BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
NiceMwenye kuhitaji kununua samaki za ziwa Victoria kwa bei za jumla kutoka Mwanza kama Uko Dar, Moro na Dodoma tayari mizigo nasambaza na ipo masokoni katika hiyo mikoa mitatu. Na aliyoko mikoa mingine
Cont: 0787921515
0763322534
Wale wa Dar: Butcher lipo Kinondoni soko kuu katika milango ya Msikiti wa Mtambani barabara ya kuingia soko kuu
Shukran mkuuFanya utafiti kama jamii inayokuzunguka inapitia changamoto gani halafu watengenezee suluhu ili wakulipe. Although mtaji huo ni mdogo ila anza taratibu tu.
Nipo Singida chuo cha uhasibuWeka location unapatikana mkoa gan ili iwe rahisi kushauriwa
Habari za muda huu wadau,
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo nipo Singida. Kwa mtaji wa 500,000/= naweza nikafanya biashara gani ili niweze kutengeneza kipato cha ziada?
Nawasilisha mada kwenu.
Nawasalimu ndugu wana JF
Mimi ni mwajiriwa katika kampuni moja hivi hapa Tanzania. Nilikuwa na plan ya kufanya kazi kwa muda wa miaka mi 3 then niwe na maisha yangu. But nikajikuta mpaka sasa mwaka wa nne bado nipo job, inaniuma sana na sipendi.
Miminapenda sana kusafiri safiri yaani nisiwe mtu wa kutulia sehemu moja kwa muda mrefu. Sasa nina milioni 20, je naweza fanya bishara gani ili niachane na hii ajira?
Wazo langu nifungue kampuni ya biashara ya mazao ya Nafaka. Niwe nafuata mazao vijijini na kuuza mjini. Na soko langu la kwanza nimepanga iwe Tanga mjini. Ila sijui taratibu za kufuata mpaka uweze safirisha Nafaka.
Naombeni ushauri wenu pia kama kuna bisahara nyingine naomba mnishauri.
Natanguliza shukrani

Taking a risk is still a RISKWoga mbaya sana. Application ya risk taking. Calculate your risks then go ahead
Sent using Jamii Forums mobile app