Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

Biashara ya siagi ya karanga....
Karanga INA faida nyingi mwilini kwa matumizi ikiwemo kuongeza protini inayotakikana.Karanga hutumika sana kwa matumizi ya nyumbani na familia nyingi sana, hivyo kibiashara unakuwa na uhakika Wa soko ukiwa serious na biashara husika.
Mafuta ya karanga hayana lehemu hivyo kufaa kwa matumizi ya binadamu.
Siagi ya karanga hutumika kwa matumizi mbalimbali ikiwemo kuungia kwenye mboga, kula na mkate,n.k
Mchanganuo Wa biashara hii uko hivi......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina Tsh Laki 3 nianzishe biashara gani nitakayoimudu kuiendeleza.?
20200209_002306.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri mzuri sana mkuu, japo bado unakuwa umemuacha njia panda, labda mpe maarifa zaidi namna ya kusoma mazingira yanayomzunguka na kubaini fursa.
Inategemeana na sehemu uliyopo na nn kinakosekana sana hapo ulipo ndo fursa za kitu chakufanya zinapatikanaaaa ila wew mwnyew ndo wakufnya utafiti mzur kulingn na sehmu uliyopooo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa yangu anataka aje dsm maisha ya kijijini yamemshinda kuhusu kulima anataka aendelee na mchakato wa kuanza life hapa dsm..mfukoni ana 1.5M,mahala pa kufikia anapo ni chanika...ila ndio mara ya kwanza km akija dsm maana amezaliwa kijijini,amesomea huko na kukulia...ushauri anaweza fanya kitu gani..kwa mimi nilifikiria uwakala wa huduma za kifedha ila changamoto kwa sababu ya ugeni wake matapeli wanaweza kumpiga mapema sana...naomba mawazo mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom