Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,177
- 1,090
Habari za mchana wana ndugu mimi nikijana nimemaliza degree mwaka huu ila kutokana na ugumu wa maisha pamoja na hajira, nataka kuanzisha biashara.
Nina kiasi cha laki 5 nataka kuanza biashara, sina tamaa sana ya kupata faida nyingi kwa mda mfupi kwa hyo naombenni ushauri wenu plz plz
Natumain mtanipa ushauri mzuri.
Vp ulifanya biashara gani? How did it go?