Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,177
- 1,090
Habari za mchana wana ndugu mimi nikijana nimemaliza degree mwaka huu ila kutokana na ugumu wa maisha pamoja na hajira, nataka kuanzisha biashara.
Nina kiasi cha laki 5 nataka kuanza biashara, sina tamaa sana ya kupata faida nyingi kwa mda mfupi kwa hyo naombenni ushauri wenu plz plz
Natumain mtanipa ushauri mzuri.
Bundle unalotumia insta kwa sanchi ukitafuta hizo contact inawezekana
Naomba msaada wenu Kama kuna anaefahamu kuchenjua copper ore kwa njia ya kienyeji ili nipate SHABA au njia rahisi ya kuchenjua copper ore ili nipate SHABA Natanguliza shukran zanguKumbe hili jukwaa limejaa maarifa hivi.
Habari Kiongozi pole na majukumu naomba msaada wenu Kama kuna anaefahamu kuchenjua copper ore kwa njia ya kienyeji ili nipate SHABA au njia rahisi ya kuchenjua copper ore ili nipate SHABA Natanguliza shukran zanguKibanda cha mpesa, Airtel money,tigo pesa,halopesa, mbinu na changamoto zake zipoje
Kazi nzuri sana mkuu.bridge and walks ways made out of recycled plastic timber. The projects has brought an amaizing and incredible look, free from several maintainance costs, free from termites, free from rusts and it is also environmental friendly.
For any inquiry please contact
Whatsapp: +255 757 671 874
Call& sms : +255 676 515 441
Email: amtatina@ecoact.co.tzView attachment 2075913View attachment 2075914View attachment 2075915View attachment 2075916View attachment 2075917
Samahani,hii ulizungumza zamani,vipi mpaka Sasa bado Ni wavivu?nikavamie nchi hukoUmachinga unakuwa na meza ya kuuza bidhaa zako wazambia wengi ni wavivu na wengi wanategemea kuajiriwa na serikali
Wadau natafta mzani wa digital kg 150 ntapata wap na kias gani naambiwa darinapatkana kwa bei nafuu mm nko Mz
Habari za mchana wana ndugu mimi nikijana nimemaliza degree mwaka huu ila kutokana na ugumu wa maisha pamoja na hajira, nataka kuanzisha biashara.
Nina kiasi cha laki 5 nataka kuanza biashara, sina tamaa sana ya kupata faida nyingi kwa mda mfupi kwa hyo naombenni ushauri wenu plz plz
Natumain mtanipa ushauri mzuri.