klinbritetz
Senior Member
- Sep 23, 2020
- 160
- 125
Bei ikojeHabarini wana jamvini.....
Nilikuwa naomba msaada wa soko la bidhaa za chaki...
Ni nyingi tunazalisha asanteni.....
No. 0628145529View attachment 2277784
Tsh. 350.000/=Naomba kujua bei ya mashine ya kukanda unga wa mandazi ya kg 12.5
Fungua business name fanya biashara, ikikua ndo unaweza sajili kampuniHABARINI WANA JAMII,, NAOMBA KUCHANGIWA MAWAZO, USHAURI, UFAHAMU NK, KTK YAFUATAYO ILI KUWEKA REKODI SAWASAWA..
KWANZA KABISA, NILIMSIKIA MTU MMOJA, SIMKUMBUKI JINA, NA SIKUMBUKI WAPI ILA NI MFANYAKAZI WA TRA... KWENYE MAKODI YA KUKADIRIA BIASHARA MBALIMBALI YA WATEJA.
JAMAA: bro nakushauri kama unampango
Wa kufanya biashara, nakushauri
Usifungue kampuni, its a tidius
Work. Kuna lot of ishu ambazo
Zitakusumbua ikiwa ni pamoja
TRA, plus hayo ya ku files return
Kama sio mhasibu utaingia chaji
za kuwalipa consult wakufanyie
N.K. aliniambia mambo mengi.
Akanishauri, ni VYEMA UKAFUNGUA BUSINESS NAME TUU, ukaendesha biashara zako ukiwa na iyo business name.
NIMEONA NILETE HII KITU APA KUPATA MAWAZO MBALIMBALI, Naamini kuna waliobobea kwenye fani hii..
PILI:
Let say, nimefanya procedures za kufungua kampuni BRELLA online, na hatimae nimefanikiwa, nina iyo memort and certificate mkononi, ILA BADO SIJAENDA TRA ili wanifungulie file ili oficial nianze biashara.. SASA KUTOKANA NA CHANGAMOTO ZA DHARURA, nahisi nashindwa kuanza hii company business, na fkilia ku CANCEL kila kitu.. Je, kwa mfano, nikiacha tuu, bila kufanya lolote,, kuna chaji na penalts nitadaiwa na TRA au pengine na Brella? Kumbuka, tra sijawai enda, so sina faili kule......
Msaada kwa hayo machache....
Asanteni..
Jamaa jiusishe na biashara za uuzaji Wa vifaa vya electronic like laptops na simu utafurai mwenyewe iyo pesa inatosha sana mengine jiongeze
Kuna ndugu yangu anatengeneza incubator hiv hazifai hizi maana anatumia bulbHEATER ZA JOTO KWAJILI YA KULEA VIFARANGA
[emoji2788]Ni kawaida yetu kila jumapili kutoa OFAA Mbali mbali kwa wateja wetu juu ya Bidhaa zetu lengo ni kukuza tasnia ya ufugaji Tanzania [emoji1241] [emoji1241]
[emoji2788]Na jumapili ya leo tunatoa OFAAA ya HEATER za joto kwajili ya kulea vifaranga wako
SIFA ZA HEATER ZETU
[emoji3514]Ni heater zinazo toa joto la kutoshea kwa vifaranga
[emoji3514]Ni imara na ngum kuungua
[emoji3514]Zinatumia umeme wa kawaida na kidogo Sana
[emoji3514]zinafungwa kwenyee Holda ya kawaida
[emoji3514]Hazi hitaji umeme mwingi ili ziweze kufanya Kazi
Kuna faida kem kem ukitumia Heater zetu kwa kulelea vifaranga wako kwani ni uhakika 100%
Kwa shilingi 25000/=TU [emoji91][emoji91][emoji91] na Holda yake
0744344949/0658344949[emoji3513][emoji3513] DSM LILIAN KIBO
MIKOANI TUNATUMA PIA [emoji597][emoji597][emoji597]
JEFF AGRICULTURE FARM NI UKOMBOZI WA FIKRA KWA WAFUGAJII [emoji1732][emoji1732][emoji1732]View attachment 2573733View attachment 2573732
Unaweza kunipa connection ya kupata hivo vitu?
Uchanganuzi mzuri sana huuHabari wakuu,
Ni dhahiri kuwa Jukwaa letu la Biashara limesheheni mada nyingi zenye miongozo kwa wanaoanza biashara na hata wanaohitaji msaada kwa biashara zao.
Kutokana na mada nyingi kuwa na umuhimu na kuwa sticky, inalazimu kuweka links za mada hizi sehemu moja kwa urahisi wa kuzifikia na kupunguza idadi ya mada zilizo sticky kwenye ukurasa wa kwanza.
Pia kama una mada uliipenda na ungependa wengine wawe wanakutana nayo kirahisi waweza comment kwenye thread hii nami nitaiweka.
Shukrani.
========
MAWAZO YA BIASHARA(BUSINESS IDEAS)
Business ideas (Bure)
Baadhi ya Njia unazoweza kutumia kupata Wazo Bora la Biashara (Business Idea)
Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?
Mtaji wa milioni 1-5: Naweza kufanya Biashara gani?
Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya...?
Kwa mtaji wa 25/-m nifanye biashara gani?
List ya Business Ideas kuhusu viwanda vidogo vidogo
MAJADILIANO: Fursa za kibiashara
MICHANGANUO YA BIASHARA
Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS
Biashara ya Bakery: Mbinu, ushauri na changamoto zake
Biashara ya Hostel: Mbinu, Faida na changamoto zake
Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe
Msaada: Jinsi ya kuwa Wakala wa Tigo pesa, Mpesa na mitandao mingine
Biashara ya kuuza genge
Biashara ya chips na changamoto zake
Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda
Kwa uzalishaji, masoko ya biashara za madini njoo hapa uliza chochote
Biashara ya Samaki Wabichi
Biashara ya kununua na kuuza mazao (nafaka)
Kuanzisha Radio Station: Gharama halisi za Kuanzisha Radio kwa TZ.
China: Fursa za biashara, usafiri na masoko
Msaada: Mtaji wa kiasi cha chini kuanzisha biashara ya mbao
Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)
Faida za Biashara za Dagaa
Biashara ya Uchawi Tanzania
Biashara ya Daladala: Ushauri na Mbinu za Uendeshaji Wake
Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)
UCHUMI
Lijue soko la HISA
Utajiri uliopo kwenye dhamana za serikali: Sehemu ya II (bonds)
Nifanye nini nikiwa chuo ili nikimaliza nisitegemee ajira?
USHAURI: Jinsi ya kuweza kuhifadhi pesa kutoka katika mshahara
Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika Kwa Kuanza Na Shilingi Elfu Moja
Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka
Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!
Project funding sources