Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

Sema mada za biashara za ufugaji ziwekwe jukwaa la ufugaji, biashara za kilimo ziwekwe jukwaa la kilimo.

Biashara zinagawanyika katika sekta nyingi zipangwe kutokana na sekta.

Mfano lugha inayotumika kumuuzia gari mkulima ni tofauti na lugha inayotumika kumuuzia gari afisa wa benki.
 
Natafuta kuwezeshwa $5000/- takribani tsh milioni 12/-ili niweze kumfikia investor kwa round table nchi ya Canada Kisha anipatie mtaji tuliokubaliana kuwekeza katika Enterprise yangu,naomba mdau aliye tayari njoo whatsapp +255755846814 tuyajenge
 
Wadau, habari za asubuhi.naomba msaada wa chimbo zuri kupata vitu vya jumla kwa bei nzuri na Mimi niuze kwa jumla mtaani kwenye bidhaa kama mafuta ya kula, chumvi, sukari na sabuni na vitu vyote vinavyouzwa kwenye maduka ya rejareja Ili mimi niwauzie kwa jumla.nashukuru kwa ushauri mtakaonipa.
 
Jaman naombeni mwenye uelewa juu ya biashara ya vitenge hapa nchini na nje ya nchi anipatie maarifa kidogo juu ya chimbo la kupata bidhaa tajwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…