kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Umeeleza chini ya kiwango mkuu toa na hata mtaji wako na umejipangaje kiujumla ili watu wakusaidieNataka kuanzisha biashara ya nafaka yaani kama duka hv niko morogoro mjini
Huo ushauri mnautoa bure ama kwa malipo, na vipi kuhusu security ya milki ya wazo la biashara ...??Habari! Najua watu wengi Wana tarajia kuanzisha biashara lakini Kwa namna 1 au nyingine hawana uzoefu nayo...
Kama ni hivyo basi eleza na useme mahali husika unayotaka kuanzisha biashara yako tukupe ushauri kwa ajili ya faida yako mwenyewe! Asantee na karibu!
Hayo yote ni Bure mkuu na sehem maalaumu ya kukutana ni hapa hapaHuo ushauri mnautoa bure ama kwa malipo, na vipi kuhusu security ya milki ya wazo la biashara ...??
(a) Kama mnatoa ushauri wa Biashara kwa malipo, mbona haujaweka gharama zenu za huduma kuanzia mtaji wa pesa kadhaa mnalipwa kiasi kadhaa?
(b) Kama mnatoa huduma hiyo bure, je ninyi mnafaidika na nini?
(c) Vipi kuhusu security ya wazo la biashara ikiwa anae taka kushauriwa akikuja kwenu, Je hamuwezi mkaiba wazo lake na kulifanyia kazi?
Sawa mkuu....Hayo yote ni Bure mkuu na sehem maalaumu ya kukutana ni hapa hapa
Naomba unipe tenda ya kukuletea maharage kilo moja inauzwa 1300,maharage aina yoyote upendayo,,usafiri juu yanguNataka kuanzisha biashara ya nafaka yaani kama duka hv niko morogoro mjini
Mkuu maharage yako ni ya kutoka wap?Naomba unipe tenda ya kukuletea maharage kilo moja inauzwa 1300,maharage aina yoyote upendayo,,usafiri juu yangu