Lagrange
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 2,365
- 2,732
Nakushauri ufanye biashara ya mtandao(Multilevel markerting/network marketing) kwa hiyo hela ulio Nayo inatosha kabisa. Kuanza biashara
Karibuni sana kwenye kampuni yetu ya Alliance in motion global ambayo kiingilio kwa akaunti moja ni 560000 . baada ya miezi michache utakuwa na uwezo wa kuingiza zaidi ya milioni kwa wiki
Kwa Maelezo zaidi tuwasiliane kwa whatsapp namba 0757409103
Nitakupa detail pia Maelezo kuhusu mahali semina zinapofanyikia. Zinazohusiana mfumo wa ulipaji katika kampuni
Kwanini msifungue hospital mkauza dawa zenu,
Kwanini mnawapa dhamana watu wasio na taaluma ya afya wauze dawa zenu
Shame on you.