Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

Hawa jamaa wa alliance global si watu watu wazuri fanya biashara na mtu unayemjua vinginevyo utalia bure
 
Yani kama mimi mkuu
 
Jamani Wakuu mi nikijana wa miaka 24 Nipo njia panda nimewaza sana bila Majibu nahisi kukata tamaa kwa malengo yangu niliyo jiwekea Ila bado na matumaini na leo matumaini yangu yataongezeka kwa msaada wenu nina mtaji wa 400,000-700,000 Tafadharini mnielekeze NIFANYE BIASHARA GANI kwa mtaji huo apo.
 
upo mkoa gani
 
Mkuu hebu kuwa active katika uzi wako usaidiwe kama inawezekana

Umeulizwa upo mkoa gani?
 
Ha ha ha ha ……

Mkuu haupo serious hata kidogo.

Hiyo pesa bora ukanywee bia tu
 
Jamaa jiusishe na biashara za uuzaji Wa vifaa vya electronic like laptops na simu utafurai mwenyewe iyo pesa inatosha sana mengine jiongeze
 
Hongera yako tajiri.Ila hiyo biashara sijui ina nini maana wengi wenu Huwa wanachoka balaaa
 
Huwezi ukakosa watu hata kama huna uwezo wa kushawishi watu kampuni ina.mfumo wa wajuu kumwekea mtu, wa chini yako kwa hiyo hata kama huna uwezo wa kushawishi watu sio rahisi kukosa watu
Hudhuria semina ujionee watu wanaoingiza 7mil / siku
Milioni 7 Kwa siku naona kama ni uongo kama wapo Basi ni 1/100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…