Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tope la Moshi nalo kiboko[emoji28][emoji28][emoji28]Karatu msimu wa Mvua Kuna kuwa na tope la Hatari sana, Unashindwa kunyanyua mguu kutoka chini, Haswa hayo maeneo ya CCM , uwanja Mboe Hadi kupandisha Maeneo ya Jublate Mnyenye, NMB, Kwa Lekashu, Kadtuli Hadi Peter Ombay , Crater Rim, upande police na TRA shuka mitaa ya NBC kote ni tope ama Vumbi
Mkuu huyo dada sijui watu wa Dodoma walimkosea nini yaani yeye sikuzote huwa yupo negative tu kuhusu Dodoma.Kuna thread moja aliwahi kusema eti watu wa Dodoma ni wafupi,wamefubaa alafu weusi tiii nikamuuliza mbona huku Dar warangi,wasandawe na wanyambwa(wengine huwaita wagogo wa manyoni) wanasifika kwa uzuri na weupee wao(wa asili sio wa kujichubua) akakimbia😀😀.Acha kutaja vijijini huko,kwa jinsi hiyo hakuna kijiji nchi hii kisicho na vumbi,ukiondoa vile vya mikoa ya pwani ambako ardhi yake ni ya kichanga,hapa tunazungumzia urban,Dodoma kwa sasa pako vizuri sana ukilinganisha na miaka 20 iliyopita...
Poleni nilikaa siku 2 ngozi ikabadilika na hapo natoka nje kwa masaa tu, nikajiuliza vip wakazi wa huku wana hali gani? Huko vijijini si watoto watakuwa wamepauka sana na kuumwa homa ya baridi? No siwezi ishi dom.Dodoma kunapausha sana yaani huku napaka Vaseline, Glycerin,lotion Ndo natoka na Bado kukatika miguu Ndo usiseme besti ..Kuna Hali ya hewa mbaya mnooo
Milikuwa huko mwezi wa 6 nilikoma sio kwa baridi ile na upepo.Dodoma Kuna Baridi? Acha mzaha basi hata huo upepo ni Kwa sababu ya msimu wa upepo ambao Huwa unaanza mwezi wa 6 Hadi wa 10
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tunapaka blueband...
Wewe wa Dar una shida sanaMilikuwa huko mwezi wa 6 nilikoma sio kwa baridi ile na upepo.
🤣🤣 Kuna wakati nilipata tenda ya ujenzi ya shule fulani mitaa hiyo sehemu inaitwa Engikaret... lile vumbi lilikuwa sio poa. Ila bahati nzuri vumbi la huko sio jekundu. Karatu kuna poda nyekundu kama jezi ya Simba.Mbele ya Lengijave, panaitwa Oldonyosambu, huko watu washarudi mavumbini kabla ya hata ya kufa. Kuna vumbi narudia tena KUNA VUMBI. Robo tatu ya vumbi la dunia liko huko. Kuna wakati unatembea ukijiangalia chini ujioni yaani unatembea lakini miguu yako huioni imezama kwa vumbi.
Moshi kweli kuna tope kama la Karatu. Sema tu ule uoto wa asili unaficha aibu ya Vumbi. Vinginevyo Moshi ingekuwa kama KibondoKuna tope la Moshi nalo kiboko[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maisha yanakwenda kasi sana, hata wewe leo hii unaiponda serikali????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana Diaspora wanatuita wala vumbi, nchi ina vumbi hii nyie! [emoji23]
Nadhani Dar tu ndio inajitahidi kutokuwa na vumbi sana napo sababu ya uwingi wa majengo.
[emoji1787]Kinachoshangaza mkoa wa kigoma kuna viongozi wakubwa wametokea kule hivi wameshindwa kuupigania ule mkoa zile barabara zikapigwa lami? Imagine kuna vipande vipande kama mkate wa ajemi hapa na hapa lami kidogo vumbi la kwenda inakera sana
Kama Mbeya pana vumbi la kawaida basi kumbe Kuna sehemu Zina vumbi.Mbeya umeionea au haujawahi kufika. Ni vumbi la kawaida
[emoji23]bomang'ombe ukivaa viatu vya wazi (sandal) ukifika ufikapo huioni miguu yako mana imefanana na ardhi
MbingaHii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.
1. KARATU
2. KASULU
3. KIBONDO
4. BOMANG'OMBE, Hai
5. SONGEA
6. TUNDUMA
7. ORKESMET, Simanjiro.
8. DODOMA
9. MERERANI
10. MTO WA MBU
Mbeya kwa kishua kabisa ,kigoma kigoma uko na wilaya zake ni balaa tena ni lile powder jekundu [emoji3]Kama Mbeya pana vumbi la kawaida basi kumbe Kuna sehemu Zina vumbi.
Vumbi la Mbeya linavyonikera,msinambie Kuna sehemu Kuna vumbi zaidi ya hili!