sportstore
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 497
- 1,769
Lakini mbona jamii ya kule ni weupe sanaNimetembea karibu nchi zote za SADC na EAC bado mpinzani wa Karatu hajapatikana.
Kibondo....Kabuki.
Umeacha wapi SingidaHii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.
1. KARATU
2. KASULU
3. KIBONDO
4. BOMANG'OMBE, Hai
5. SONGEA
6. TUNDUMA
7. ORKESMET, Simanjiro.
8. DODOMA
9. MERERANI
10. MTO WA MBU
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Wakija wenyewe watasema una wivu dada...na mkoa wao!!![emoji38][emoji38][emoji38]
Yaani vumbi linachafua sana miguuKule kabwe nyuma ya soko la mpunga kuna vumbi fulani baya kishenzi.
Kwa morombo, Moshono, Lengijave, Kisongo, Ngaramtoni na Chekereni. Hizo sehemu sio poa
Ila lengijave inaongozaKabisa , Hizo sehemu kwa vumbi ni hatari sana . Kisongo na. Lengijave aiseee hazina mfano utadhani uko sayari ya Mars
Makambako hamna vumbi jekunduOrodha hii bila Makambako ni batili
ππBomang'ombe
Orkesumet
mto wa mbu
dodoma
kuna vumbi kama majivu (volcanic soil) hamna vumbi jekundu
Ila Dodoma sio volcanic soilππ
Meatu,Kishapu piaHii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.
1. KARATU
2. KASULU
3. KIBONDO
4. BOMANG'OMBE, Hai
5. SONGEA
6. TUNDUMA
7. ORKESMET, Simanjiro.
8. DODOMA
9. MERERANI
10. MTO WA MBU