Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

Bila MANYONI futa tu huu Uzi
 
Yaani niliposoma kichwa cha habari nikawaza karatu na ndio ya kwanza aloooo kule kuna powder ya vumbi yaani vumbi jepesiiii sio mchezo
Karatu msimu wa Mvua Kuna kuwa na tope la Hatari sana, Unashindwa kunyanyua mguu kutoka chini, Haswa hayo maeneo ya CCM , uwanja Mboe Hadi kupandisha Maeneo ya Jublate Mnyenye, NMB, Kwa Lekashu, Kadtuli Hadi Peter Ombay , Crater Rim, upande police na TRA shuka mitaa ya NBC kote ni tope ama Vumbi
 
Aloo sio mchezo karatu baba lao. Nilienda msibani kurudi wife anauliza kwani walikugeuza maksai nn maana nguo zinachafuka vumbi la maana. Lile vumbi la karatu unaweza ombea hata mkopo bank.
 
Hatari sana, kidogo sahivi wameweka kilami cha kishakaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…