Miji michafu zaidi duniani: Watani zetu waiwakilisha vyema Afrika

Kweli tuliaminishwa hayo maneno "ati watu ndiyo serikali" ili tusiulize haki zetu, tusihoji, tusikemee uovu na tukubali hao wachache kutupelekesha watakavo!!!
Nje nakuaminishwa ile sehem sio yakukaa vile wachukue hatua wasafishe wajitoe kweny ujinga wa kusubir gavoo ije ..choo kinachotapisha icho kinyesi wanakiona Na wameridhika kua makambare..tuimbe kidogo " acha waisome nambaaaa eeee" Na hao ndio kinamama wenye ccm yao
 
The lists are not incomparable. Unawezaje kulinganisha mmoja kwa level ya dunia na mwingine kwa level ya Afrika?
 
Acha uongo
Hizi picha umezitolea hapa.
Clean Ganga mission faces 'most critical' challenge in pollution hotspot Kanpur

Nakuomba uwe honest usidanganye ukumbi.

The Modi government’s plan to clean the Ganga faces its toughest challenge yet in Kanpur, a heavily industrialised north Indian riverside town which could make or mar the mission since it is crucial to plugging pollution elsewhere, experts say.

A strategy document of the National Mission for Clean Ganga, viewed by HT, identifies the Kanpur-Varanasi leg as the β€œmost critical stretch”, but political hurdles and engineering complexities have emerged as formidable tests.

The overall mission itself is so daunting that the government has now been forced to settle for some more β€œrealistic targets”.
 

Tulia mambo yakuingie....Ni nini uko na haraka
 

Mukuru Nairobi Kenya

But slums do not constitute the whole city. Slums are generically filthy. Go to any slum anywhere in the world, even in the poshest of cities..

Here, we are talking about the cities.......excluding the slums
 
But slums do not constitute the whole city. Slums are generically filthy. Go to any slum anywhere in the world, even in the poshest of cities..

Here, we are talking about the cities.......excluding the slums

Nakubaliana na wewe usafi ni maeneo Fulani tu ya miji yetu.
 
Utapata nini kama una kiongozi kama seneta wao wa Nairobi Bw. Mbuvi Gidion Kioko Mike Sonko aka macheni aka magold.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…