Miji michafu zaidi duniani: Watani zetu waiwakilisha vyema Afrika

Unaisifu Nairobi kwa ujinga? Shame on u [emoji45] [emoji45] [emoji45]


~Cmb
 
Kila baaada ya siku mbili tatu, utaona wafagiaji wa Nairobi City Council wakifagia barabara na kuokota takataka zilizo rushwa na watu,
 
Nilikuwa natafuta Majiji Machafu Africa ila NIKAKARIBISHWA na Hili



~Cmb
Uliamua kutuonyesha kwamba kiingereza ni janga huku Uswahilini??? Crime Index kwako inamaanisha "Chafu" hahaha wabongo mna taabu kweli! Mtasaidiwa aje?
 
Uliamua kutuonyesha kwamba kiingereza ni janga huku Uswahilini??? Crime Index kwako inamaanisha "Chafu" hahaha wabongo mna taabu kweli! Mtasaidiwa aje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Waambie wawe wanasafisha pale Jevanjee opposite na pack side ni pachafu sana mpk panqnuka mikojo
I am not naive or blind, tukisema Nairobi streets ni kusafi haimanishi kila mahali.. Offcourse kuna kwengine hua kuna maovu flani, upande wa riverroad karibu na barababra ya kuenda upande wa ngara hua kuna round about flani pale hua kuna takataka zimerushwa hapo, Pia upande wa Ronald Ngala streets pale hua kuna gari za kuenda Githurai, Juzi nilipita na usiku nikaona mtu flani na wheelbarrow anatoa takataka ndani ya kachochoro flani akizimwaga kando ya barabara, Hio iliniudhi sana, Lakini sana sana haya maovu hufanyika upande wa mitaa ya chini kule hua kuna matatu nyingi...Hio ya jivanjee naiskia leo....
Anyway Lakini ukiangalia Majority ya Nairobi is very clean
 
Heri mji mchafu kuliko moyo mchafu. Wakenya mna tabia mbaya jamani...nani huchoma moto banda za watu kule Kibera karibia na uchaguzi?
 
Nakubaliana na wewe kwa suala la uchafu dar, but niletee picha moja tu ya uchafu city center dar. Mimi ni mkazi wa dar!!
 
Pita mitaa ya Gikombaa, nenda Ngomongo,zungukia Kibera, Mathare.

Watu wengi maeneo hayo hawana vyoo na ni kuchafu sana ,

Wakazi wengi wasio na vyoo wanarusha vinyesi mto Nairobi.
Oh My God!
 
Asante....Any business opportunities???
Yes they are.
Njoo na pesa, tindua ardhi, grow grapes and become rich,
But sadly thieves, thugs and such people are never entertained here and Especially many of u Kenyans because we know it is your culture.
Once u r caught u may be executed locally, either u may be stoned with stones or burned to death.
Acha wizi (if u are) na uje Dodoma.
 

Aaaah wapi, nyie kwa tamaa za kijinga mnaliwa tu. Juzi nimeona waziri wenu Mwigulu Nchemba ambaye ana account humu JF, alisema kushangazwa na jinsi Wachina wana hadi kadi za kupigia kura Tanzania. kashuhudia mwenyewe wakati hakumbuki lini Wachina wameomba uraia. Tamaa zenu ndio zinasababisha mnatafunwa na kuliwa nchi inabaki mahandaki matupu na umaskini.
Jamaa wanatamba na stakabadhi zenu za kitaifa na kula kwa pupa bila huruma huku akili zenu zikiwaza Wakenya. Hivi samaki za Wachina mnawalipa lini, trilion nzima aisei....mtatafunwa hadi lini huku mkijinadi eti mpo makini wakati maskini jeuri tu.
 
Huyo mwigulu nae akianza kulaumu wakati yeye ndiye anaetoa hivyo vibali vya uhamiaji sijui sisi tufanyaje.
Halafu nimependa vile unatupa mawe kwa mwenzio ukiwa unajua umejenga nyumba ya vioo vitupu.
Hao wachina wamewajengea reli kwa kuwabutua pesa ndefu halafu reli inasombwa na mafuriko. Je, itahimili uzito mashehena kweli?
Hehehe..
Na yule mzungu anamiliki nusu ya ardhi ya nchi yenu vipi tena.
Na utalii wa Kenya unamilikiwa na wazungu, waitaliano na wengine ..
Halafu hakuna anaeiwaza Kenya,
nyie kelele kibao halafu kwenu njaa tupu.
 

Hamna kitu kinachoweza kuniuma zaidi ya niwe na liinchi likubwa kama lenu hilo na madini mengi zaidi ya nchi zote, vivutio bora, raslimali za kila aina lakini vyote vinaishia kutafunwa na Wachina na Wahindi. Wengine hata mnawavisha uchama maana wapo kwa shamba la bibi, mnawashobokea full na kujikombakomba kwao.

Hehehehe....Mafuriko hubomoa miundo mbinu hata kwenye nchi zilizoendelea kama Marekani. Hivyo hilo suala la kawaida, kwenu nyie hata mvua ya masaa mawili Dar panakua hapakaliki. Miundo mbinu ya ovyo, mifereji ya maji taka hamna, mavi/vinyesi vinaelea kwenye mafuriko katikati ya mji, harufu na uvundo wa ovyo.




 
Na nani hukatakata binadamu mwenzio kama Albino na kula nyama yake??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
jamaa anakazia sana issue ya albino[emoji35][emoji35] ,why? ? I am curious to know what is so interesting as you have already mention albino many times even if the topic is not related[emoji53][emoji53][emoji53]
 

Nani mwizi kati ya Mkenya na Mdanganyika.You are only evil pretenders who are not only thieves but devil worshippers.I better trust a monkey than a tanzanian you son of a bitch.......I know you people better than you know us.You are just a wasted sperm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…