Kwa kusini nauona mji atakaokua kwa kasi sana SOMANGAnaweka kambi hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kusini nauona mji atakaokua kwa kasi sana SOMANGAnaweka kambi hapa
Nimewahi kufika maji moto Mara moja kwa kupita tu Kuna nini Cha maana sana ?Majimoto Mpimbwe
Na MasasiKwa kusini nauona mji atakaokua kwa kasi sana SOMANGA
Tanga na shinyanga mjini pamepangwa vizuri sana kama ulaya Tu viwanja vipana na barabara Zina onekanaTanzania hakuna Mji uliopangwa sio Mbeya tuu labda kidogo ni Dodoma
Hakuna kitu nilikupa takwimu utashangaa as per matokeo ya sensaTanga na shinyanga mjini pamepangwa vizuri sana kama ulaya Tu viwanja vipana na barabara Zina onekana
Lakinii huwezi linganisha na miji kama dar na moro kuko shagalabagala sanaHakuna kitu nilikupa takwimu utashangaa as per matokeo ya sensa
Kinacholinganisha ni takwimu sio macho YakoLakinii huwezi linganisha na miji kama dar na moro kuko shagalabagala sana
Ebu leta na wewe takwimu zako tuone mikoa yenye slams nyingi hapa TZ. Mimi nimetumia aerial view kujua mpango ya miji tofauti tofautiKinacholinganisha ni takwimu sio macho Yako
Morogoro yalikuwa ni mashamba ya mpunga kila mtu kaamua kujenga shambani kwake baada ya maji kupungua.Lakinii huwezi linganisha na miji kama dar na moro kuko shagalabagala sana
We jamaa hadi Mugumu1. Kakola
2. Nyamongo
3. Kahama town
4. Kerende
5. Nyabichune
6. Mugumu
7. Runzewe
8. Kagongwa
9. Nyakanazi
mchengerwa ameipendelea na kuipa hadhi ya Halmashauri ya Mji wa Ikwiririikwiriri inazidi kukua sasa hivi lami mpaka mitaani
Karame ndo zao gani mkuuHii miji midogo kama una interest ya kulima na biashara ya Mazao kama Mimi unatoboa chap na haraka,,
Sema Mimi sijatulia tu.. hebu nitulie kwanza niende zangu Mangaka nikalime karame Karanga na ufuta
Ongezea na bomang'ombe-haiKuna Mikese Morogoro, Himo Moshi, Dumila na Dakawa Morogoro, Mlela na Doma Morogoro pia, Kiwangwa Pwani ya Bagamoyo, Kifanya Njombe, Ikungi Singida, Kinguluwira Morogoro,.
Naam.Ongezea na bomang'ombe-hai