mwambojoke
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,084
- 647
Hizo takwimu sina.Unaliingizia Taifa kiasi gani cha fedha kwa mwaka/mwezi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo takwimu sina.Unaliingizia Taifa kiasi gani cha fedha kwa mwaka/mwezi?
Sio kweli kama ingekuwa hivyo tusingeona wachaga wakikimbia mji wao na kutapakaa katika maeneo ya miji mengine yenye baraka. ndio maana haiwezi kuwa moshi na Arusha kuna mibaraka inayodaiwa ipo. kwani hakuna asiyetaka kubarikiwa wote tungesongamana huko badala yake wakutoka huko wanakimbilia katika miji yenye baraka, kama unavyoona hakuna sehemu yenye neema na baraka katika nchi hii utamkosa mchaga.Nyie watu wa arusha sijui mtaacha masifa lini?
Kila mahali pamebarikiwa kulingana na mahitaji ya eneo husika
Mkishiba mbege basi mnajiona booora
Watu wa mjini hawana haja ya kuhesabu au kujua maprofesa au wenye digrii kama wanavyofanya watu wa vijijini/ mikoani.Wako wengi lakini wanachukuliwa kama watu wa kawaida. Kuwa Profesa ni fahari yako na familia yako na pengine ukoo sio mkoa au wilaya.Huwa wanahesabu Marais na labda kidogo mawaziri ndio wanaweza vuta attention kwa wazaramo.Hiyo ni kawaida ya watu wa mikoani sio huku mjini actually ni vigumu kumkuta mtu wa mjini anaorodhesha idadi ya mtu asie na faida nae hata kidogo.Hivi kuna Mzaramo Profesa pamoja na chuo kuwa Dar
Mzaramo yake ngoma, unyago na jando kukaa maporini na kufundishana mapenzi. Awana muda wa kusoma, na wasipoangalia, kila miji inavyokuwa watazidi kupotea
Hakuna Mzaramo msomi
Watu wanatapakaa sehemu mbalimbali kukamata fursa za ki maendeleo kwa walio lala mfano wachina makapuni makubwa yana kuja Africa maana tumelala, wanachuna na kurudisha kwao huku wewe ukibaki maskini. So hoja ya kusema eti kungekuwa kuzuri wasingetoka ni wrong assumptions. Ndo maana kuna uwekezaji sehemu tofauti tofauti.Sio kweli kama ingekuwa hivyo tusingeona wachaga wakikimbia mji wao na kutapakaa katika maeneo ya miji mengine yenye baraka. ndio maana haiwezi kuwa moshi na Arusha kuna mibaraka inayodaiwa ipo. kwani hakuna asiyetaka kubarikiwa wote tungesongamana huko badala yake wakutoka huko wanakimbilia katika miji yenye baraka, kama unavyoona hakuna sehemu yenye neema na baraka katika nchi hii utamkosa mchaga.
Upuuuzi mtupu....vipi zao la bangi aka cha arusha mmeshaacha kulima au.?
Aliye barikiwa hapungukiwi na kituuuWatu wanatapakaa sehemu mbalimbali kukamata fursa za ki maendeleo kwa walio lala mfano wachina makapuni makubwa yana kuja Africa maana tumelala, wanachuna na kurudisha kwao huku wewe ukibaki maskini. So hoja ya kusema eti kungekuwa kuzuri wasingetoka ni wrong assumptions. Ndo maana kuna uwekezaji sehemu tofauti tofauti.
Unatumia vibaya huo msemo ndo maana kukawa na kuzunguka sehemu mbali mbali kutafta life ukikaa sehemu moja unakosa exposure na kuendelea ni ngumu maana mkiwa kijiji kimoja hamjui yanayoendelea sehemu nyingine, siunaona contribution ya kina Vasco Da Gama, Christopher Columbus na America!! Kukaa sehemu moja ni ujingaAliye barikiwa hapungukiwi na kituuu
bangi zako zinakuharibu we dogo.Hayo madini hayana faida kama hiyo milima miwili hapo...
Wala hayasogelei.
Hayo madini yataisha mapema zaidi ya hiyo milima.
Afu hiyo kanda ya ziwa imejaa vilaza...
Nguvu nyingi akili kidogo.
Kigoma hamna mlima, ni vichuguu unasemea vimejaa kigomaKm milima mbona hata kwetu kigoma ipo
Ingawa nimetembea na kuishi miji tofauti Tanzania..Kuanzia Dar nilipozaliwa, Morogoro nilipokulia na kusomea elimu ya msingi, Pwani Kibaha niliposomea elimu ya Sec. ,Moshi niliposomea Elimu ya Juu, Arusha na Tanga kwa matembezi sana, Mbeya kwa shughuli za kiofisi.
Nisiwe mnafiki hamna mkoa niliotokea kuupenda kama Moshi. Aisee ni kwa vile tu ni pagumu kutafuta riziki na jamaa hawauzi ardhi kizembe ila ukizingatia karaha za Dar es salaam hakuna mkoa nimeupenda kuishi kama Moshi. Hamna foleni, Mji msafi na umetulia sana na maeneo yenye uswahili yanahesabika. The rest of the places ni amani tu Shant town, Soweto, T.P.C, Pasua, Mabogini n.k
So proud kwa wazaz wote mmoja moshi,mmoja arusha,,ukiwa std 5 moshi ni saw na form 4 iringa,kigoma,ruvuma,ddma singida shinyanga n.k
Ukimaiza frm six moshi sawa na mastarz dar,mbeya,mwanza,Lind ,mtwara tanga,pwani,na Moro.
Ukizaliwa moshi na ukasoma mpka ngaz ya degree duh unatakiwa ukaishi huko botswana ,Swaziland,nabia maana kama form six anamiliki chama kikuu cha upinzani Tanzania je angekua na degree moja tu ingekuaje...
BARIKI MOSHI NA ARUSHA NAWE UBARIKIWE
Development ni nini?Ki hali ya hewa ila in terms of development pana safari ndefu
Mkuu hebu google tu utaelewa vizuri maana ya developmentDevelopment ni nini?
Mbona mnapakimbia sasa?moshi patamu sana yaaaan wewe achu tuuu duuuh lkn moshi hhahah patamu sana
Poa ndugu, ngoja niache nimegundua unashida kidogo na maana ya Baraka au kubarikiwa ama kifupi niseme hivi uzoefu unaonesha walioko kwenye neema mara nyingi fursa huwaga kwao kuzitambua ni shughuli, lakini walioko kenye dhiki na shida ndio huzibaini fursa kwa haraka. sasa hapo sijui baraka ziko upande upi.Unatumia vibaya huo msemo ndo maana kukawa na kuzunguka sehemu mbali mbali kutafta life ukikaa sehemu moja unakosa exposure na kuendelea ni ngumu maana mkiwa kijiji kimoja hamjui yanayoendelea sehemu nyingine, siunaona contribution ya kina Vasco Da Gama, Christopher Columbus na America!! Kukaa sehemu moja ni ujinga