Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waache Wahaya nje ya uhayawani wenu. Tajeni vigezo vya kubarikiwa kwenu tuwasaidie kuamua ubishi.EEEEEH NILIDHANI HII MISIFA IPO KWA WAHAYA TU KUMBE HATA NYIE
Okay ungejua huko moshi vijijini sio kwa mchezo kuna kila kitu usingesema hivoPoa ndugu, ngoja niache nimegundua unashida kidogo na maana ya Baraka au kubarikiwa ama kifupi niseme hivi uzoefu unaonesha walioko kwenye neema mara nyingi fursa huwaga kwao kuzitambua ni shughuli, lakini walioko kenye dhiki na shida ndio huzibaini fursa kwa haraka. sasa hapo sijui baraka ziko upande upi.
Umeendelea kuniangusha mkuu.Sio kwamba hamna mkoa mkali zaidi ya Moshi ila tu nimemapenda Moshi dhidi ya mikoa yote niliyowahi ishi/tembea mkuu. Huu ni mtazamo wangu tu wala sio lazima iwe sawa na kila mtu!
Ahaa poa mkuu nimekusomaaa ha ha!Umeendelea kuniangusha mkuu.
Labda hapa nikuambie tu, ni MJI WA MOSHI(Manispaa ya Moshi) as Opposed na Mkoa wa Kilimanjaro!
we ni jinga la majinga kuhusisha huu uzi na Chama cha siasaHizi ni baadh za setbacks za chadema kupewa nchi labda baada ya miaka 1000 ijayo.
Mimi ni ukawa damu lakn ..,kutoaminika kwa watu wa huko ndo Kunako tugharimu ...sasa nyie endeleeni na upumbafu huu.
Watu tunajitahidi kuwaeleza watanzania watuelewe kuwa sisi hatuna ukanda, udini,siyo wezi kama dhana ambayo imejijenga ktk fikra za watanzania ,wapumbafu kama wewe unakuja kwenye mitandao unapost vitu vya kipuuzi vinavyozidi kutuondolea credibility ktk jamii.
Pumbafu kabisaaaa
Nitakujibu keshoSio kweli kama ingekuwa hivyo tusingeona wachaga wakikimbia mji wao na kutapakaa katika maeneo ya miji mengine yenye baraka. ndio maana haiwezi kuwa moshi na Arusha kuna mibaraka inayodaiwa ipo. kwani hakuna asiyetaka kubarikiwa wote tungesongamana huko badala yake wakutoka huko wanakimbilia katika miji yenye baraka, kama unavyoona hakuna sehemu yenye neema na baraka katika nchi hii utamkosa mchaga.
Mkuu wa kaya yetu sio mbaguzi na hana chuki na raia wake yeyote..Yeye anasema hawezi kumbagua au kumchukia mtu kwa sababu ya kabila lake, dini yake,rangi yake,au ukanda anaotokea..nawewe pia ndugu yangu ninakusihi..usiwe na ubaguzi na chuki kwasababu yoyote ile.sisi sote ni ndugu haya mengine tunayotofautiana ni kuvumiliana tuNdiyo maana mtukufu hawapendi kwa tabia zenu hiziiii....
Ni mbaguzi kweli kweliMkuu wa kaya yetu sio mbaguzi na hana chuki na raia wake yeyote..Yeye anasema hawezi kumbagua au kumchukia mtu kwa sababu ya kabila lake, dini yake,rangi yake,au ukanda anaotokea..nawewe pia ndugu yangu ninakusihi..usiwe na ubaguzi na chuki kwasababu yoyote ile.sisi sote ni ndugu haya mengine tunayotofautiana ni kuvumiliana tu
Kwenye hiyo miji ndio wanaishi Waisraeli wa Tanzania kwa wingi, na asili yao ni miteremko ya mlima Kilimanjaro.
Watu waliobarikiwaWaisrael wa Tanzania ndio unasema nini?
Kwanini mkuu unasema ni mbaguzi..unaweza kunipa vidokezo vichache vinavyoonesha ubaguzi wake?Ni mbaguzi kweli kweli
Iringa imebarikiwa kuliko hiyo miji. Home sweaty home bana