Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

Kwenye hiyo miji ndio wanaishi Waisraeli wa Tanzania kwa wingi, na asili yao ni miteremko ya mlima Kilimanjaro.
 
Duh! Arusha mbona kuna shida ya maji na wamasai wanahangaika na malisho ya mifugo yao au baraka ni Arusha mjini tu hebu weka wazi
 
Poa ndugu, ngoja niache nimegundua unashida kidogo na maana ya Baraka au kubarikiwa ama kifupi niseme hivi uzoefu unaonesha walioko kwenye neema mara nyingi fursa huwaga kwao kuzitambua ni shughuli, lakini walioko kenye dhiki na shida ndio huzibaini fursa kwa haraka. sasa hapo sijui baraka ziko upande upi.
Okay ungejua huko moshi vijijini sio kwa mchezo kuna kila kitu usingesema hivo
 
Hakuna mji uliobarikiwa Tanzania km TUKUYU..... nenda kokote utaambiwa
 
Sio kwamba hamna mkoa mkali zaidi ya Moshi ila tu nimemapenda Moshi dhidi ya mikoa yote niliyowahi ishi/tembea mkuu. Huu ni mtazamo wangu tu wala sio lazima iwe sawa na kila mtu!
Umeendelea kuniangusha mkuu.
Labda hapa nikuambie tu, ni MJI WA MOSHI(Manispaa ya Moshi) as Opposed na Mkoa wa Kilimanjaro!
 
Hizi ni baadh za setbacks za chadema kupewa nchi labda baada ya miaka 1000 ijayo.
Mimi ni ukawa damu lakn ..,kutoaminika kwa watu wa huko ndo Kunako tugharimu ...sasa nyie endeleeni na upumbafu huu.
Watu tunajitahidi kuwaeleza watanzania watuelewe kuwa sisi hatuna ukanda, udini,siyo wezi kama dhana ambayo imejijenga ktk fikra za watanzania ,wapumbafu kama wewe unakuja kwenye mitandao unapost vitu vya kipuuzi vinavyozidi kutuondolea credibility ktk jamii.
Pumbafu kabisaaaa
we ni jinga la majinga kuhusisha huu uzi na Chama cha siasa
 
Sio kweli kama ingekuwa hivyo tusingeona wachaga wakikimbia mji wao na kutapakaa katika maeneo ya miji mengine yenye baraka. ndio maana haiwezi kuwa moshi na Arusha kuna mibaraka inayodaiwa ipo. kwani hakuna asiyetaka kubarikiwa wote tungesongamana huko badala yake wakutoka huko wanakimbilia katika miji yenye baraka, kama unavyoona hakuna sehemu yenye neema na baraka katika nchi hii utamkosa mchaga.
Nitakujibu kesho
 
Ndiyo maana mtukufu hawapendi kwa tabia zenu hiziiii....
Mkuu wa kaya yetu sio mbaguzi na hana chuki na raia wake yeyote..Yeye anasema hawezi kumbagua au kumchukia mtu kwa sababu ya kabila lake, dini yake,rangi yake,au ukanda anaotokea..nawewe pia ndugu yangu ninakusihi..usiwe na ubaguzi na chuki kwasababu yoyote ile.sisi sote ni ndugu haya mengine tunayotofautiana ni kuvumiliana tu
 
Mkuu wa kaya yetu sio mbaguzi na hana chuki na raia wake yeyote..Yeye anasema hawezi kumbagua au kumchukia mtu kwa sababu ya kabila lake, dini yake,rangi yake,au ukanda anaotokea..nawewe pia ndugu yangu ninakusihi..usiwe na ubaguzi na chuki kwasababu yoyote ile.sisi sote ni ndugu haya mengine tunayotofautiana ni kuvumiliana tu
Ni mbaguzi kweli kweli
 
Type ameen ubarikiwe? Huu ni ujinga huwezi kubalikiwa kwa kutype JF tu, ni lazima ufanye kazi.
 
Kila mkoa una neema zake wakuu
Kwa.mfano MBEYA kuna kila aina ya chakula na kwa wingi
Kuna wagonjwa kibao wa dini aka warokole
 
Tatizo wakazi wengi wa mikoa ya kasikazini ni wabinafsi sana na ni wachoyo sana,eti mnasema miji iliyobalikiwa iweje majambazi mengi tena ya bunduki yatoke miji yenu,na iweje mafisadi mengi yaliotumbuliwa yatoke miji yenu,mji uliobalikiwa iweje mji unaongoza kua na ma bar na wanaume wake ni wanywaji wa kubwa wa migongo kiasi mnashindwa kuwatimizia haki za msingi wake zenu mbk wanatafuta uduma hiyo nchi ya jirani.jitahimini kwanza kabra ya kuongea msije mkasukumwa kwa asili yenu ya ukabira.
 
Iringa imebarikiwa kuliko hiyo miji. Home sweaty home bana
IMG_8912.JPG
 
Back
Top Bottom