Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

Mtoa Mada Funga Bakuri Plz

IMG_20170306_151912.jpeg
 
Mji gani mbaya zaidi hapa Tanzania?

Hongera Kilimanjaro na watu wake!
 
Ukiona mtu anasifia, ujue huyo hajawahi kuisha ingine yoyote, ni sawa Na kipofu aliesifia tembo baada mungu kumpa uono wa mara moja, Na kumwona tembo, kisha kumrudisha katika hali upogu
 
Akili za kimbwiga hizi, kwani waisrael wamebalikiwa nini kuwazidi watu wengine?
Wewe hujui ni taifa pendwa la Mungu ninaye muamini..Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo..na hawa watu wamebarikiwa sana fanya utafiti wako utaligundua hilo..Sayansi ya dunia inawategemea sana na hata katika nyanja ya kijeshi ni hatari sana..Hata taifa tajiri na lenye nguvu duniani-Marekani wanawaheshimu na wanawalinda sana...Na hawa watu kutoka miteremko ya mlima Kilimanjaro kwa maoni yangu nawaona kama watu waliobarikiwa na sina shaka kuwaita Waisraeli wa Tanzania...fanya utafiti wako kwa Tanzania utagundua kitu cha tofauti na baraka nyingi kutoka kwa Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo zinazoambatana na hawa watu.
 
Pumba
 
Iringa bado, napajua Iringa...bado wenyeji hawajapafanyia Iringa kitu!!
kumbuka hali ya hewa safi ya iringa inachangiwa kwa kiasi kikubwa na misitu inayopandwa na wakazi wa iringa.
Viva iringa. Moshi na arusha ni mij powa sana, na watu wake wako relatively more civilized (I value that), but to me Iringa is the best.
 
Hayo madini hayana faida kama hiyo milima miwili hapo...
Wala hayasogelei.
Hayo madini yataisha mapema zaidi ya hiyo milima.

Afu hiyo kanda ya ziwa imejaa vilaza...
Nguvu nyingi akili kidogo.
Huu sasa ni uchochezi
 
Nazungumzia
1. Mji wa Moshi.
f83839974e390f98ec071d3db7eca479.jpg

2. Mji wa Arusha...
4f98f6283005ad04e5aaf0a620a5796d.jpg

I'm telling you! Hii miji miwili ndiyo yenye baraka zaidi mpaka hiyo milima inaishuhudia.

Type Amen.
Kuibariki zaidi nawe utabarikiwa.
Yaan we hiki Kichaa chako n cha mwendo kasi!!
 
Hebu elezea zaidi hiyo mibaraka ya aina gani labda ambayo unahisi mikoa mingine hakuna. Maana kwenye picha naona mji umepauka vibaya
 
Back
Top Bottom