Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

download (4).jpg
download (4).jpg
download (5).jpg
download (7).jpg
download (6).jpg
tukuyu mbeyaaa.ndo imebarikiwa.tupa kule arusha na moshi
 
Wewe hujui ni taifa pendwa la Mungu ninaye muamini..Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo..na hawa watu wamebarikiwa sana fanya utafiti wako utaligundua hilo..Sayansi ya dunia inawategemea sana na hata katika nyanja ya kijeshi ni hatari sana..Hata taifa tajiri na lenye nguvu duniani-Marekani wanawaheshimu na wanawalinda sana...Na hawa watu kutoka miteremko ya mlima Kilimanjaro kwa maoni yangu nawaona kama watu waliobarikiwa na sina shaka kuwaita Waisraeli wa Tanzania...fanya utafiti wako kwa Tanzania utagundua kitu cha tofauti na baraka nyingi kutoka kwa Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo zinazoambatana na hawa watu.
Hovyoooo, mawazo ya karne ya 7 haya
 
Amen..

Will Smith kaja katua KIA then akaenda zake Arusha na Manyara..
 
Mh acheni utani na mungu nyie,yaani ku typ ammen tu nabarikiwa???
 
Mimi ni wa Dar es salaam ila sio siri Arusha pazuri sana na napa'miss sana
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Kweli Tanzania nimasikini wa kutupwa !!!!! Angalia miji yenyewe ilivyo chakavu!!! Haiendani na sifa zao kumataifa.Tanzania ninakupenda lakini nina kuhurumia.Unatawaluwa na majambazi na maharamia yamekufanya uchoje vibaya sana kusikoendana na utajari wako wa mali asili.
 
Back
Top Bottom