hahaaa umeona eehh basi na muelewa mnoo yule ajuza sana yaaniJanet " Damita Jo"...kimama kina pozi kile sijawahi ona!
Yaani ukimuuliza swali anakaa dk 5 ndo akujibu, unaweza kudhani bubu!
Nachompendea anajua kupiga pamba, na hajajikwakua kivile japo surgery za boobs na pua ni kwa sana, ila ana ngozi nzuri!
At 51 kimama kinaongea kama mtoto wa darasa la pili[emoji23] [emoji23]
hahaaa nakwenda huko sasaHahah just cheki on youtube it was a nice shoo.
Mkuu favella sio mji,bali ni jina la eneo lolote lenye makazi duni sana kwa maeneo ya Brazil na sanasana Rio Di Janeiro.Natamani kufika mji mmoja hivi_FAVERA, wenye slam nyingi sna na drug dealers
Haaa mkuu kiborloni ni mji au mtaa/kata tu hyo?au unamaanisha Moshi?Napenda kutembelea kiborloni. Nikale kitimoto choma na ndizi tatu laini kwa buku nne.
Hapo kwa Bavaria nshajua,utakua unakioenda kile kinywaji chao sana.[emoji13] [emoji1] [emoji2]Seoul,Korea kusini aisee wakorea nawaelewa sana..hasa vile vibinti vyao na technology ndio usiseme.
Bavaria,hii ni sehemu iko kule Germany.. msiniulize Kwa nini..
Thailand pia iko kwenye wish list yangu..
Australia,nikashuhudie Opera house...
Hivi kwanini mabinti au tuseme watoto wa MJ wanamwonekano wa nje wa kizungu kwa 100%?ni watoto wake wa damu au aliwaasili?mama yao ni nani?Jermain namuelewa sana yule Jamaa anakasura flani Hivi kazuri ijapokuwa anazeeka still anaonekana gentleman wa haja ..hahaaaa usiniambie Jamaa wamekuwa wapigaji !!? aisee maisha kweli nyokooo
nampenda Paris Michael Jackson .though kabinti nikazuri japo kuwa nikamcharuko
Usisahau pia kupitia maeneo ya Beverley Hills nako ni ushuani balaa nasikia..Hollywood.... Uwiii sijui lini ntatia timu, pale!
Hawa waarab wanaendesha nchi yao kwa mapato ya utalii wa vitu visivyo vya asili,ila wananiboa dunia ilivyotuaminisha kua wao ndio haswa wajenzi wa hizo mambo.Egypt hii maikaone zile pilamid
Wamejitoa fahamu now, wale ni jobless kwa hiyo ukiingia anga zao na stori zako za wazimu wa MJ imekula kwako!Jermain namuelewa sana yule Jamaa anakasura flani Hivi kazuri ijapokuwa anazeeka still anaonekana gentleman wa haja ..hahaaaa usiniambie Jamaa wamekuwa wapigaji !!? aisee maisha kweli nyokooo
nampenda Paris Michael Jackson .though kabinti nikazuri japo kuwa nikamcharuko
NashukuruMkuu favella sio mji,bali ni jina la eneo lolote lenye makazi duni sana kwa maeneo ya Brazil na sanasana Rio Di Janeiro.
Yaap....nataka nipitie na kujiselfie kwenye mansion za akina MJ, Jlo, Beyonce ( japo siku hizi nasikia kahamia NY)...na wengineo hasa action movie starsUsisahau pia kupitia maeneo ya Beverley Hills nako ni ushuani balaa nasikia..
mama yao mbona yupo alikuwa na taaluma ya unesi but jina lake limenitoka ngoja nitapitia Google kisha nitalileta au waweza kupitia huko mkuu ..ila kuhusu hilo LA watoto wote kwanin wamekuwa wazungu nimeshindwa kulijua aisee but yule Jamaa alitumia mfumo wakuzaa kwaku pandikiza mbegu kwa yule mkewe ..so cjui hiyo ya weza kuwa sbabu au la...!? wataalamu waje watupe hii elimuHivi kwanini mabinti au tuseme watoto wa MJ wanamwonekano wa nje wa kizungu kwa 100%?ni watoto wake wa damu au aliwaasili?mama yao ni nani?