Miji nayotamani kuitembelea na kwa sababu gani.

Miji nayotamani kuitembelea na kwa sababu gani.

Janet " Damita Jo"...kimama kina pozi kile sijawahi ona!

Yaani ukimuuliza swali anakaa dk 5 ndo akujibu, unaweza kudhani bubu!

Nachompendea anajua kupiga pamba, na hajajikwakua kivile japo surgery za boobs na pua ni kwa sana, ila ana ngozi nzuri!

At 51 kimama kinaongea kama mtoto wa darasa la pili[emoji23] [emoji23]
hahaaa umeona eehh basi na muelewa mnoo yule ajuza sana yaani
 
Hahah just cheki on youtube it was a nice shoo.
hahaaa nakwenda huko sasa

nakumbuka pia kuna show moja Hivi alikuwa anaifnya Eminem wakati ule ndio yupo anatoka na album yke ya 8 miles ..basii Jamaa alipiga show katkati ya show akaonyesha makalio
 
Seoul,Korea kusini aisee wakorea nawaelewa sana..hasa vile vibinti vyao na technology ndio usiseme.

Bavaria,hii ni sehemu iko kule Germany.. msiniulize Kwa nini..

Thailand pia iko kwenye wish list yangu..

Australia,nikashuhudie Opera house...
 
Napenda kutembelea kiborloni. Nikale kitimoto choma na ndizi tatu laini kwa buku nne.
 
Natamani kufika mji mmoja hivi_FAVERA, wenye slam nyingi sna na drug dealers
 
Seoul,Korea kusini aisee wakorea nawaelewa sana..hasa vile vibinti vyao na technology ndio usiseme.

Bavaria,hii ni sehemu iko kule Germany.. msiniulize Kwa nini..

Thailand pia iko kwenye wish list yangu..

Australia,nikashuhudie Opera house...
Hapo kwa Bavaria nshajua,utakua unakioenda kile kinywaji chao sana.[emoji13] [emoji1] [emoji2]
 
Jermain namuelewa sana yule Jamaa anakasura flani Hivi kazuri ijapokuwa anazeeka still anaonekana gentleman wa haja ..hahaaaa usiniambie Jamaa wamekuwa wapigaji !!? aisee maisha kweli nyokooo

nampenda Paris Michael Jackson .though kabinti nikazuri japo kuwa nikamcharuko
Hivi kwanini mabinti au tuseme watoto wa MJ wanamwonekano wa nje wa kizungu kwa 100%?ni watoto wake wa damu au aliwaasili?mama yao ni nani?
 
Wamejitoa fahamu now, wale ni jobless kwa hiyo ukiingia anga zao na stori zako za wazimu wa MJ imekula kwako!

Paris! Toto limeharibika lile sipata ona, MJ angekuwepo angejimurder!!

Toto linavuta mibangi, unga, mitatoo ile, na kile kibwana chake Michael, full kumchuna hela za urithi!
 
Usisahau pia kupitia maeneo ya Beverley Hills nako ni ushuani balaa nasikia..
Yaap....nataka nipitie na kujiselfie kwenye mansion za akina MJ, Jlo, Beyonce ( japo siku hizi nasikia kahamia NY)...na wengineo hasa action movie stars
 
Hivi kwanini mabinti au tuseme watoto wa MJ wanamwonekano wa nje wa kizungu kwa 100%?ni watoto wake wa damu au aliwaasili?mama yao ni nani?
mama yao mbona yupo alikuwa na taaluma ya unesi but jina lake limenitoka ngoja nitapitia Google kisha nitalileta au waweza kupitia huko mkuu ..ila kuhusu hilo LA watoto wote kwanin wamekuwa wazungu nimeshindwa kulijua aisee but yule Jamaa alitumia mfumo wakuzaa kwaku pandikiza mbegu kwa yule mkewe ..so cjui hiyo ya weza kuwa sbabu au la...!? wataalamu waje watupe hii elimu
 
Syria...nikiweza nitapita na Gaza
Kuna experience nataka kuipata huko
 
Back
Top Bottom