Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
yesCopacabanaaaaaaaaaaaa fukwe maarufu kuliko zote duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yesCopacabanaaaaaaaaaaaa fukwe maarufu kuliko zote duniani
Road trip zinakua nzuri sana,vip ni private au by bus?Tuna-share hobby mkuu.
Mimi Addis Ababa ipo kwenye diary tayari.
nataka nifanye on land tour (nitumie barabara via Nairobi )
Nimejipanga kwa hili InshaAllah
Daah AISEEE...THATS MY DREAM MKUURio de Janeiro
nnahamu sana kufika pale kwenye ile statue ya Christ the Redeemer na pia nikatembelee fukwe ya Copacabana.
Ushawahi kufika?Daaah Mbamba bay na wajomba zangu huko wananililia nikawatembelee
[emoji30]
nice chief [emoji4]Daah AISEEE...THATS MY DREAM MKUU
Yap mkuu iko vizuri una experience semi arid ya nortern Kenya na southern EthiopiaRoad trip zinakua nzuri sana,vip ni private au by bus?
Sijawahi mkuu,wewe ni mkazi wa huko?Ushawahi kufika?
Paris,France nikaone Eiffel tower
Thank you[emoji4]
Mkuu umeacha hadi nikacheka kwa sautichato alipotokea mkulu
nasikia kuzuri kweli
karibu [emoji4]Thank you[emoji4]
Ooohh me ntaenda mwenyewekaribu [emoji4]
paris ni mji mzuri sana hasa ukiwa na mpenzi wako kuna romantic sites nzuri za kutembelea,
ni vizuri pia, utaweza pata company huko huko....ila tu kiukweli kuwa mwenyewe sehemu kama zile sucks big time.Ooohh me ntaenda mwenyewe
Mji mkuu wa kimahaba Duniani,unaenda na nani mama?Paris,France nikaone Eiffel tower
Cape Town napatamani ila sio sana sababu nilishafika huko kumtembelea bro wangu mwaka 2003!Cape town.mojaaaaa.
Bustani ya eden hakuna ajuae ilipo kwa hakikabustani ya eden nikaone uelekeo gani adam na mkewe walielekea