Miji nayotamani kuitembelea na kwa sababu gani.

Miji nayotamani kuitembelea na kwa sababu gani.

Tuna-share hobby mkuu.
Mimi Addis Ababa ipo kwenye diary tayari.
nataka nifanye on land tour (nitumie barabara via Nairobi )

Nimejipanga kwa hili InshaAllah
Road trip zinakua nzuri sana,vip ni private au by bus?
 
Road trip zinakua nzuri sana,vip ni private au by bus?
Yap mkuu iko vizuri una experience semi arid ya nortern Kenya na southern Ethiopia
Nacheki either private or public
uzuri ni visa on arrival
 
Paris,France nikaone Eiffel tower
b9ad33720e71bf488ba85022d0d85dd2.jpg
 
Ooohh me ntaenda mwenyewe
ni vizuri pia, utaweza pata company huko huko....ila tu kiukweli kuwa mwenyewe sehemu kama zile sucks big time.

maana utakua unaona watu either wawili wawili au group of friends...raha sana!

Pariiis[emoji556]
 
Back
Top Bottom