bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
- Thread starter
- #81
Mbona hata pale ziwa Nyanza upande wa Magharibi wapo wa hivyo?Nifike kwa Kagame tu nikakaze mademu wanaorusha maji...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hata pale ziwa Nyanza upande wa Magharibi wapo wa hivyo?Nifike kwa Kagame tu nikakaze mademu wanaorusha maji...
Lushoto inafanana fanana kidogo na Tukuyu kwa bibi so sina mzuka nayo saaanaaa.lushoto. mullers mountain lodge
Zanzibar si ipo mkuu?au karibiani unataka kukutana na wadogo zake Rhihana[emoji13]Visiwa vya Comorro au Karibiani...
Nasikia wapo wa kumwaga ila wa Kagame pua mchongoko nawatamani zaidi...Mbona hata pale ziwa Nyanza upande wa Magharibi wapo wa hivyo?
[emoji263] [emoji263] [emoji263] zinakuhusuNapenda kutembelea jukwaa wakubwa angalau mara moja kwa week
Mmea gan huo mzee baba?[emoji263] [emoji263] [emoji263] zinakuhusu
[emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Mmea gan huo mzee baba?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
I see. Hio kiboko[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
hio anatumia baba jesca sio mimi
Karibu mkuuTuna-share hobby mkuu.
Mimi Addis Ababa ipo kwenye diary tayari.
nataka nifanye on land tour (nitumie barabara via Nairobi )
Nimejipanga kwa hili InshaAllah
Visa on arrival? Watakurudishia mpakani. Nenda kasome vizuri requirements zao. Labda kama zimebadilika hivi karibuni.Yap mkuu iko vizuri una experience semi arid ya nortern Kenya na southern Ethiopia
Nacheki either private or public
uzuri ni visa on arrival
Mkuu uko kwa Wahabesh?Karibu mkuu
Daaah afadhali umetutoa tongotongoVisa on arrival? Watakurudishia mpakani. Nenda kasome vizuri requirements zao. Labda kama zimebadilika hivi karibuni.
hahaaaNifike kwa Kagame tu nikakaze mademu wanaorusha maji...
hahaaaaaNapenda kutembelea jukwaa wakubwa angalau mara moja kwa week
Mzee ntakufanyia harambee ufike Reykjavik sababu naona una hamu napo kweli.Ingawa hujatoa sababuIceland
Nchi tulivu sanaa hii mkuu... ukiwa huko n kama upo sayar nyingine.. kama una ramani ya mikoa yake tupia hapa mkuu.Mzee ntakufanyia harambee ufike Reykjavik sababu naona una hamu napo kweli.Ingawa hujatoa sababu