Mijusi ndani ya nyumba; Dawa inahitajika

Mijusi ndani ya nyumba; Dawa inahitajika

SlimFit

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2016
Posts
2,041
Reaction score
3,119
Wakuu habari ya uzima?

Kama mada inavyojieleza, ningependa kujua kutoka kwa yeyote anayefahamu dawa za hawa mijusi wanaozurula ndani ya nyumba naomba anijuze tafadhali.
 
Wakuu habari ya uzima?

Kama mada inavyojieleza, ningependa kujua kutoka kwa yeyote anayefahamu dawa za hawa mijusi wanao zurura ndani ya nyumba naomba anijuze tafadhari.

Kama nyumba haijapigwa plasta inawafanya wanakuwa wepesi kushika ukuta na hawatelezi, ila kama imepigwa plasta wanateleza. Ngoja wataalam wa mijusi waje.
 
Kuna mwenzio juzi alianzisha uzi wa kuhoji; kwanini Tanzania hatudai mapato yaliotokana na mjusi wetu alie ujerumani. Wewe leo umeanzisha uzi unataka kuua nyara za serikali?

 
Wakuu habari ya uzima?

Kama mada inavyojieleza, ningependa kujua kutoka kwa yeyote anayefahamu dawa za hawa mijusi wanao zurura ndani ya nyumba naomba anijuze tafadhari.
Angalia rate yako ya Luigi’s malaria has jamaa wanakula sana mbu biological controll unzip wanaolete mavi Kwa vyombo cocroach nk
 
Wasingekuwa wanachafua sana ukuta na kunya kunya kila sehemu hapo sawa. Kuhusu kula wadudu kama mbu hapo nakubaliana na wewe
 
Back
Top Bottom