IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
Ni makosa ile skeleton ya yule dainasori kuiita mjusi ([emoji1656] lizard). Kwanza urefu wake pekee balaa, bado kimo kwenda juu, hata tembo hafui dafu... Na ikitokea akarudishwa hapa bongo sijui labda wampeleke Ukumbi wa mlimani City, tena watoe viti vyooteee ndo ataenea.Kuna mwenzio juzi alianzisha uzi wa kuhoji; kwanini Tanzania hatudai mapato yaliotokana na mjusi wetu alie ujerumani. Wewe leo umeanzisha uzi unataka kuua nyara za serikali?
Mapato ya Mjusi Wetu
"TUNATAKA MAPATO YA MJUSI WA TANZANIA AMBAYE YUKO UJERUMANI" - YouTube ''WABUNGE Kumi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameanzisha kamati maalum ya kuhakikisha sehemu ya mapato ya utalii yanayotokana na mabaki ya mjusi mkubwa aliyeko katika jumba la makumbusho Mjini Berlin nchini...www.jamiiforums.com