Mijusi ndani ya nyumba; Dawa inahitajika

Mimi kwangu Kuna mijusi mingi chakushangaza nikisafiri na mijusi hupotea siku nikirudi tu ndani ya nusu saa wamerudi, Hadi hushangaa sijawahigi kuwaza kuwaua maana Wana umuhimu wao.
Kuna mtumishi aliniambia wanatumika kwenye ulimwengu wa giza, unaporudi na kuwaona wameongezeka hapo wanakuwa kazini kufanya ufukunyuku na kutuma taarifa kwa waliowatuma..
 
Hii inaweza kuwa kweli maana nilishangaa KWA sasa siwaoni, Yani nikirudi tu hao ka wamepigiwa simu, no Wonder hii dunia ni zaidi ya uijuavyo
 
Mm nimeanza zoezi la kuwafukuza na hata kuwapiga kila niwaonapo kiasi flani nimewapunguza hata kunya ovyo wamepunguza
Aina namna kwakweli mana hata juzi kati wife alikuwa anawapiga na lijiti kuwauwa mana dah hii mijusi imezidi unaweza kuta tupo sebuleni tunakula eti mjusi anakusogelea kabisa eti wakulungwa hii sawa kweli aiwezekan ni kuwauwa tu kilichobaki
 
Mimi kwangu Kuna mijusi mingi chakushangaza nikisafiri na mijusi hupotea siku nikirudi tu ndani ya nusu saa wamerudi, Hadi hushangaa sijawahigi kuwaza kuwaua maana Wana umuhimu wao.
Sasa ukiwa haupo unajuaje kama wamepotea na wakati ukirudi unasema ndani ya 30min unawaona.
Ama ni mimi ndio sijakuelewa.
 
Nyie ndo hamuelewi jambo jepesi unakuta nimesafiri mda mrefu narudi nafanya usafi wa kawaida siwaoni baada ya mda nashangaa hyo mijusi ilipotokea nikawa najiuliza kulikoni hawa mijusi
 
😀😀 Ila mijusi ya nyumbani kwako bwana🤣🤣🤣🤣inafurahisha
 
Mimi kwangu Kuna mijusi mingi, chakushangaza nikisafiri na mijusi hupotea siku nikirudi tu ndani ya nusu saa wamerudi, Hadi hushangaa sijawahigi kuwaza kuwaua maana Wana umuhimu wao.
Umuhimu gani
 
Ukiona hivyo mkifanya kale kamchezo na mwenzio wanakulieni deo
 
Mkuu HV hii ya nguvu za Giza ni kweli, maana Nina Dada yangu kaokoka uwa anapambana nao anawaua Yani akimwona ndani kwake bas kifo Mimi uwa naona Kama anawaonea ukizingatia Mimi bado mchanga Sana kiimani
Mlokole anaogopa nguvu za giza na kuua mijusi? So fun!
 
Back
Top Bottom