mliverpool
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 1,565
- 2,944
Unajuaje Kama wamepotea na ww haupo??Mimi kwangu Kuna mijusi mingi chakushangaza nikisafiri na mijusi hupotea siku nikirudi tu ndani ya nusu saa wamerudi, Hadi hushangaa sijawahigi kuwaza kuwaua maana Wana umuhimu wao.