Mijusi ndani ya nyumba; Dawa inahitajika

Mijusi ndani ya nyumba; Dawa inahitajika

Kwamba ukisafiri mijusi huwaoni? Swali huwa unaacha macho yako nyumbani halafu unasafiri bila macho?
[emoji1][emoji1] mbona nimeelezea huko juu kuhusu hyo issue ndo ikabidi niwaulize wanazengo
 
Ni makosa ile skeleton ya yule dainasori kuiita mjusi ([emoji1656] lizard). Kwanza urefu wake pekee balaa, bado kimo kwenda juu, hata tembo hafui dafu... Na ikitokea akarudishwa hapa bongo sijui labda wampeleke Ukumbi wa mlimani City, tena watoe viti vyooteee ndo ataenea.
Ile mifupa walisema ni tani zaidi ya ishirini, huo uzito ni karibia zaidi ya tembo 15
 
Mimi ishu sio mjusi tu ila ni mjusi wa ajabu, ukishtuka in the middle of the night unaweza mkuta yupo koridoni kwenye sakafu. Uki attempt kumpiga ile unavuta fagio au lapa unashangaa kayeyuka.

Kuna siku mchana niko na wife na mtoto chumbani mtoto akanisanua baba mjusi yule. Ile nimeamka ntafute kitu cha kumpiga nageuza shingo hivi kurudisha jicho alipokuwepo kwenye kona ya dari shwaaa ameyeyuka live kwa macho yangu namuona na mke akishuhudia kilichotokea.

Sahizi nawaua kila ntapombamba.
 
Nyuma umefunga dari? (Ceiling)
 
Mungu kuleta kila kiumbe ana makusudi maalum.Mijusi ndani ya nyumba wanasaidia kula mbu na wadudu mbali mbali hata hivyo sio vyema kuwaua ila unawe kuweka mazingira wasisogee kwako.Fanya hivi
Chukua pililipili manga,kahawa,jiwe la sanduku,kitunguu maji,kitunguu swaumu,mdalasini na vinegar.
Visage vyote hivi viwe unga unga kisha vinegar sababu ni maji maji nyunyuzia kidogo.
paka kwenye kona za nyumba zako ukutani kwenye kila angle ya nyumba ukutan kwa juu na kati kati .
Hizi harufu zinawakera mno kwako itakuwa shida hawataingia kwako
 
Mimi kwangu Kuna mijusi mingi, chakushangaza nikisafiri na mijusi hupotea siku nikirudi tu ndani ya nusu saa wamerudi, Hadi hushangaa sijawahigi kuwaza kuwaua maana Wana umuhimu wao.
Unajuaje kama wanapotea ukisafiri na wakti haupo?
 
Wakiwakosa wadudu watatoboa kabati, mabegi, pochi na hata kuwa ng'ata miguu wenye nyumba
hii ni mpya kwangu, hao mijusi tangu lini wanatoboa mabegi ndani ya nyumba?

Wanakula mbu na wadudu wengine wadogo wadogo lakini siyo nguo wala mabegi
 
Mijusi ndani ya nyumba ni dalili ya kuwepo na mambo ya giza ndani ya nyumba, fanya mpango kuwaona wataalamu wa tiba asilia
Hakuna kitu kama hicho mijusi ni kama viumbe wengine ndani ya Nyumba ni sawa na mende, Panya , sisimizi.
 
Back
Top Bottom