Mijusi ndani ya nyumba; Dawa inahitajika

Mijusi ndani ya nyumba; Dawa inahitajika

Eti JC nisaidie kujibu hilo swali,kwa nini paka anawakamata na kuwatafuna kwa hasira?
✓✓Sidhani kama kweli anawatafuna kwa hasira bali ni vile hua anawala haraka haraka ili wasimkimbie.
✓✓Maybe hua anawala kwa hasira kwakua wamemsumbua kukimbizana huko.
✓✓ Inawezekana hii ni figure of speech hajamaanisha kumtafuna mjusi kama sisi tulivyoelewa.
✓✓Yawezekana ameongea hivyo kwa mlengo wa imani fulani alizonazo ndio maana anasema anawatafuna kwa hasira
☝️☝️ Hayo juu mojawapo yanweza kua majibu au nikawa nimekosea
 
Mnatakiwa mpige fumagation kuua kila aina wadudu, sio kutegemea mjusi kuua wadudu wengine wakati hao mijusi pia ni hatari sana, wakiingia kwenye chakula wanaua familia nzima
Basi inategemeana na aina ya mjusi nakumbuka kuna iipindi nilikuwa na njaa balaa nikaandaa msosi chapchap ambao ulikuwa wali mkavu, ile wakati nageuza mara ya mwisho ndio nipakue nakuta mjusi kaivia mpaka kabaki kichwa na kiwiliwili tu, hakuna cha mkia wala miguu nikamtoa nikamtupa.

nilikuwa na njaa sana sikuweza kuacha msosi sababu sikuwa na hela, hivyo nikala msosi hivyo hivyo japo kwa kuuchambua sana na kwa kujilazimisha sana lakini nilipiga sahani nzima na mpaka leo nadunda
 
Wakuu habari ya uzima?

Kama mada inavyojieleza, ningependa kujua kutoka kwa yeyote anayefahamu dawa za hawa mijusi wanao zurura ndani ya nyumba naomba anijuze tafadhari.
Dawa ya mijusi aina yote ndani ya nyumba ni unyoya wa ndege tausi, katafute mmoja kwenye maduka ya vitu vya asili iwe ni kariakoo au popote pale, then uning'inize ndani kama ni sebuleni or elsewhere. Mijusi itabaki historia wanaogopa sana nyoya la tausi
 
Kwa nini kwa hasira?
Hataki mchezo ndani ya nyumba...anajiona yy ndo mmiliki.

Sawa na wewe umkaribishe mgeni,afu awe mwenyeji ghafla,anaingia store,vyumba vya watoto,mara jikoni,mara kibarazani kifua wazi...
Mara arudi abadili channel hii mara kaweka cd mara katoa kawasha redio..
Lazima umkate jicho la onyo au umkemee na kumfukuza kbsa.
 
Dawa ya mijusi aina yote ndani ya nyumba ni unyoya wa ndege tausi, katafute mmoja kwenye maduka ya vitu vya asili iwe ni kariakoo au popote pale, then uning'inize ndani kama ni sebuleni or elsewhere. Mijusi itabaki historia wanaogopa sana nyoya la tausi
Taifanyia kazi, bei ya unyoya inaweza kua shilingi ngapi?
 
Itakua kwako kuna wadudu wengi unaporudi unakuwa sio mtu wa kusafisha nyumba au unakula chakula kila sehem, jitahid kuwa msafi ... mijusi wanakua kwa wingi pale tu kunapokua na wadudu, mende, sisimizi .. wale wanaokula sukari n.k .. ili kuindoa chain hiyo usafi muhim
Wewe nyumba yangu haina vitu vingi hata kupika huwa sipiki kabisa huo uchafu watoka wapi, acha ujuaji kwa miji ya watu usiyo ijua. Eti usafi sasa unafikiri hao mijusi waliumbwa Ili iweje kasome biology ujue Mambo ya nature kwahyo mijusi ya porini ni uchafu. Ujuaji tu
 
Basi inategemeana na aina ya mjusi nakumbuka kuna iipindi nilikuwa na njaa balaa nikaandaa msosi chapchap ambao ulikuwa wali mkavu, ile wakati nageuza mara ya mwisho ndio nipakue nakuta mjusi kaivia mpaka kabaki kichwa na kiwiliwili tu, hakuna cha mkia wala miguu nikamtoa nikamtupa.

nilikuwa na njaa sana sikuweza kuacha msosi sababu sikuwa na hela, hivyo nikala msosi hivyo hivyo japo kwa kuuchambua sana na kwa kujilazimisha sana lakini nilipiga sahani nzima na mpaka leo nadunda
Duh mkuu nimesisumuka sana, ila labda ni kwa kuwa mjusi hajachemkia bali ameungulia katika wali sehemu tu na sio kote kama ingekua ni mchuzi/mboga ingekua kitu kingine, ila mkuu mijusi wana sumu sana asikuambie mtu, ni bahati tu uli survive,
 
Back
Top Bottom