Mika Mwamba kali kweli alikuwa mkali

Write your reply... Jamaa mwakajana alirudi bongo akahojiwa na millard ayo, alisharudi kwao finland
 
Write your reply... Jamaa mwaka jana alikuja bongo akahojiwa na millard ayo, jamaa yupo zake kwao finland
 
Mkuu nakuomba tafadhali audio ya Salima papii kocha please. Yani hii hata YouTube hamns
 
Inasemwa beat ambazo majani alishindwa kuwatengenezea baadhi ya wasanii alimuomba mika amsaidie...
Majani unajua alikuwa anafanyaje? Ilikuwa akinyonga beat akaona kifaa flani kikipigwa na producer flani labda Ludigo,au bizman,au miika whoever hakuwa anasita kum consult na jamaa akaja akafanya hiyo kazi! Ndo mana beats za majani zilikuwa zinatoka na ubora ule ule
 
Respect miika mwamba. ..Niliwahi kusikia interview yake '" Alisema kuwa alikuwa hapendi kutokea kwenye media katika wakati ule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…