hildephonce celestine
New Member
- May 16, 2019
- 4
- 3
Tukumbushe bas na ya Mchizi Mox ft Ng'wea ya Demu WanguFeel The Vibez Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukumbushe bas na ya Mchizi Mox ft Ng'wea ya Demu WanguFeel The Vibez Mkuu.
Yaani wewe acha tuTamalaaaaa old is gold!
Yaa jamaa anaitwa NANI... mi sijaipata mkuu bonge la ngoma ilikua
Mkuu nakuomba tafadhali audio ya Salima papii kocha please. Yani hii hata YouTube hamnsCorrection kidogo
Wanok nok mandojo&domokaya ft jide ni production ya P Funk Majani Bongo Records
Niaje dojo domokaya pia ni production ya P Funk Majani
Mikka Mwamba pia aliproduce ngoma hizi
1. Vumilia - utanikumbuka
2. Chid Benz ft mzee yusuph raha za dunia
3. Chege twenzetu
4. Album nzima ya Mad Ice ya kwanza
5. D Knob ft Q Jay Kitu gani
6. Papii kocha& nguza SEA
7. Papii kocha Fanta
8. papii kocha ft jay dee moyo
9. Papii kocha Salima
10. K-sal ft ferooz mwana mkiwa
11. Benjamin wa mambo jambo ft mad ice-wanasema nimedata
12. Mr Nice king'ast
13. Mr Nice kila mtu na demu wake
14. Mr Nice Mama
15. Mchizi Mox Mambo vipi
16. Inspector Haroon mtoto wa gate kali
17. Picco Kikongwe
18. Jiti ft waziri sonyo -Ndoto
19. Bushoke -msela jela
N.k Pia Miika alishiriki kufanya production nying za bendi hapa tz
MIIKKA KALI MWAMBA NI NYOTA YA BONGO FLAVA ISIOTHAMINIWA MCHANGO WAKE MKUBWA KWENYE MZIKI.
RESPECT MIIKKA MWAMBA
Mkuu nakuomba tafadhali audio ya Salima papii kocha please. Yani hii hata YouTube hamns
Majani unajua alikuwa anafanyaje? Ilikuwa akinyonga beat akaona kifaa flani kikipigwa na producer flani labda Ludigo,au bizman,au miika whoever hakuwa anasita kum consult na jamaa akaja akafanya hiyo kazi! Ndo mana beats za majani zilikuwa zinatoka na ubora ule uleInasemwa beat ambazo majani alishindwa kuwatengenezea baadhi ya wasanii alimuomba mika amsaidie...
Alisharudi kwao Finland miaka mingi iliyopitaYupo wapi kwa Sasa producer Mika mwamba?
Hii ilinyongwa na marehemu Roy(R.I.P) kakake Enica pale G records! Na ndo alitengeneza beats nyingi za Mr. Blue enzi hizoBaridi ya Enica alitengeneza nani?mana lilegoma ni balaaa mpaka sasa sijaona,pamoja na hiyo Eno mic
Kudos brotherhttps://www.videoder.net/media?mode...iliyoizalisha. @Slums Music Rec, Kino Studio.
Safi brotherFeel The Vibez Mkuu.
Mika Carly (Mwamba)View attachment 1118088
Duuuh kumbe mika ndo alitengeneza ENO MIC ya ZIGY daah nalikumbuka goma hilo nlikuwa form two
Correction kidogo
Wanok nok mandojo&domokaya ft jide ni production ya P Funk Majani Bongo Records
Niaje dojo domokaya pia ni production ya P Funk Majani
Mikka Mwamba pia aliproduce ngoma hizi
1. Vumilia - utanikumbuka
2. Chid Benz ft mzee yusuph raha za dunia
3. Chege twenzetu
4. Album nzima ya Mad Ice ya kwanza
5. D Knob ft Q Jay Kitu gani
6. Papii kocha& nguza SEA
7. Papii kocha Fanta
8. papii kocha ft jay dee moyo
9. Papii kocha Salima
10. K-sal ft ferooz mwana mkiwa
11. Benjamin wa mambo jambo ft mad ice-wanasema nimedata
12. Mr Nice king'ast
13. Mr Nice kila mtu na demu wake
14. Mr Nice Mama
15. Mchizi Mox Mambo vipi
16. Inspector Haroon mtoto wa gate kali
17. Picco Kikongwe
18. Jiti ft waziri sonyo -Ndoto
19. Bushoke -msela jela
N.k Pia Miika alishiriki kufanya production nying za bendi hapa tz
MIIKKA KALI MWAMBA NI NYOTA YA BONGO FLAVA ISIOTHAMINIWA MCHANGO WAKE MKUBWA KWENYE MZIKI.
RESPECT MIIKKA MWAMBA
Baridi ya Enica alitengeneza nani?mana lilegoma ni balaaa mpaka sasa sijaona,pamoja na hiyo Eno mic
Jamaa mtu m-baya sana huyu