Mikakati katika Kuanzisha JF ChitChat PARTYYY..!!!!!

Mikakati katika Kuanzisha JF ChitChat PARTYYY..!!!!!

Madame B hebu fafanua vizuri bhanaa...hiyo party una any idea jinsi ya kuifanya?
 
Msiri wangu,
mbona unaunganisha mambo?
Hakuna chochote.


We acha tu Msiri wangu
nina uhakika kabisa siku
hiyo nitakuja peke yangu
lakini sitaondoka peke yangu,
na wapo watakaokuja wawiliwawili
na kuondoka mmojammoja..
 
rock city, tukutane wapi? Judgement na wengineo mpo?

Twendeni tukatembelee wagonjwa pale Bugando na Souko Toure, then tunapitia watoto wawili watatu wanaoranda mtaani tunaenda nao kula ice cream Salma corn huku twachonga nao stori mbili tatu......roho nyepesi and the day goes off!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom