Mikakati katika Kuanzisha JF ChitChat PARTYYY..!!!!!

Mikakati katika Kuanzisha JF ChitChat PARTYYY..!!!!!

Twendeni tukatembelee wagonjwa pale Bugando na Souko Toure, then tunapitia watoto wawili watatu wanaoranda mtaani tunaenda nao kula ice cream Salma corn huku twachonga nao stori mbili tatu......roho nyepesi and the day goes off!

Maeneo unayataja vizuri but am not sure kama upo Mwanza currently !
 
Si nakujua mzushi!

Jamani,
mbona wa Dsm simuoni hata mmoja anaetoa ushirikiano?
Ina mana wote mko mkoa?
Vibaya hvo.
Hebu njooni tukutane,tupige picha kisha tuzitupiemo humu ChitChat kama ukumbusho wa kukutana kwetu ili majukwaa mengine waone gere!!!.
 
Hahaha! Wa Dar? Labda tukuulizemo wewe, ulikuwa wapi siku zote?
 
Ndo unavojidanganya chalii angu? Chezeya eh? Haya hebu mzungumzie ODM ambaye ni mwanachama wa both JF Arusha wing, na JF Dar friends. Usithubutu kukutwa...

acha noma Mkuu, dogo ameanza kujihusisha kwenye jamii yetu siku za karibuni. Wanajamii wa Arusha tunaku"soshalizi" wk end ila hatujamiiani! Lol...
 
madame B kwenye party utakuja na rutta au arusha moja? just curious. Mimi niko bize nabembelezea Mamndenyi turudiane,ikijipa nitakuja naye.
 
Last edited by a moderator:
madame B kwenye party utakuja na rutta au arusha moja? just curious. Mimi niko bize nabembelezea Mamndenyi turudiane,ikijipa nitakuja naye.

Bishanga Acha kabisa.
Mtego mzito huo unaonipa.
Dah!!
Yani hapa hata sijui nitatoka na nani mie!!
Niko Njia Panda.
Hebu njoo nae huyo X-Mama Mkwe wangu,ana kesi ya kujibu.
 
Last edited by a moderator:
bishanga acha kabisa.
Mtego mzito huo unaonipa.
Dah!!
Yani hapa hata sijui nitatoka na nani mie!!
Niko njia panda.
Hebu njoo nae huyo x-mama mkwe wangu,ana kesi ya kujibu.

make decision
 
Last edited by a moderator:
ni wazo zuri Kipipi but inahitaji tujipange kwanza. tukutane tufahamiane ili tupange hyo mikakati Judgement sio usanii ni kujipanga tu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom