Mikakati katika Kuanzisha JF ChitChat PARTYYY..!!!!!

Madame B hebu fafanua vizuri bhanaa...hiyo party una any idea jinsi ya kuifanya?
 
Hili ni wazo zuri sana lakini kinipacho wasiwasi ni baada ya sherehe au makutano hayo kufikia mwisho na kitakachoanza baada ya mwisho huo......
 
Msiri wangu,
mbona unaunganisha mambo?
Hakuna chochote.


We acha tu Msiri wangu
nina uhakika kabisa siku
hiyo nitakuja peke yangu
lakini sitaondoka peke yangu,
na wapo watakaokuja wawiliwawili
na kuondoka mmojammoja..
 
Arusha si huwa tuna party kila weekend hatuogopani kama wa Dar na kwingineko!

sorry huwa mnakutana wapi vile? Preta ni kweli haya? pakajimy mnafahamiana na huyu jamaa?
 
Last edited by a moderator:
rock city, tukutane wapi? Judgement na wengineo mpo?

Twendeni tukatembelee wagonjwa pale Bugando na Souko Toure, then tunapitia watoto wawili watatu wanaoranda mtaani tunaenda nao kula ice cream Salma corn huku twachonga nao stori mbili tatu......roho nyepesi and the day goes off!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…