Twendeni tukatembelee wagonjwa pale Bugando na Souko Toure, then tunapitia watoto wawili watatu wanaoranda mtaani tunaenda nao kula ice cream Salma corn huku twachonga nao stori mbili tatu......roho nyepesi and the day goes off!
Maeneo unayataja vizuri but am not sure kama upo Mwanza currently !
Nyie afikini muone ka sijatinga, mbona una wasiwasi na mimi we mwana we?!
Si nakujua mzushi!
Arusha si huwa tuna party kila weekend hatuogopani kama wa Dar na kwingineko!
Jamani,
mbona wa Dsm simuoni hata mmoja anaetoa ushirikiano?
Ina mana wote mko mkoa?
Vibaya hvo.
Hebu njooni tukutane,tupige picha kisha tuzitupiemo humu ChitChat kama ukumbusho wa kukutana kwetu ili majukwaa mengine waone gere!!!.
Next sunday, saa 9 kamili alasiri , place ilipokua Tivoli cinema upstairs !
Mko serious au mnaongea usanii?
Ndo unavojidanganya chalii angu? Chezeya eh? Haya hebu mzungumzie ODM ambaye ni mwanachama wa both JF Arusha wing, na JF Dar friends. Usithubutu kukutwa...
Nilikuwa Bombay,India.
Kwa hyo mimi na wewe tukutane pale Bar Mpya au Decca Inn au KingStar?
Sasa sio ulete Ubandidu wako.
madame B kwenye party utakuja na rutta au arusha moja? just curious. Mimi niko bize nabembelezea Mamndenyi turudiane,ikijipa nitakuja naye.
We nawe!!
Haya bhana,wewe wasema.