Mikakati katika Kuanzisha JF ChitChat PARTYYY..!!!!!

Huko lazima uje na kale kamguu ka kuku
hapa watu wa uchu wa kula vya watu kama nini,
nataka niwe nawe beneti manake umeniacha miaka mingi hadi joto lote limekauka.

madame B kwenye party utakuja na rutta au arusha moja? just curious. Mimi niko bize nabembelezea Mamndenyi turudiane,ikijipa nitakuja naye.
 
Huko lazima uje na kale kamguu ka kuku
hapa watu wa uchu wa kula vya watu kama nini,
nataka niwe nawe beneti manake umeniacha miaka mingi hadi joto lote limekauka.

X-Mkwe wangu,
nakuomba siku hiyo usikae karibu yangu.
Kwani nitakuwa ma Arusha1 wako wa zamani.
Ukitusogelea,tunakulipua!!!
 
Aka mimi sitasogea nataka nikuone utakavyo mudu kula mfupa uliomshinda fisi.

X-Mkwe wangu,
nakuomba siku hiyo usikae karibu yangu.
Kwani nitakuwa ma Arusha1 wako wa zamani.
Ukitusogelea,tunakulipua!!!
 
Madame B@ Unaongea harakaharaka sana! Hebu rudia tena bt polepole ili nikusikie.

Nakwambia Hv,
kwa kuwa wewe uko Mbali Arusha na siku ya Kikao hautakuwepo huku Dar,
Naomba nafasi yako akushikie mwenzio Ruttashobolwa kwa kuwa yeye yuko hukuhuku DSM.
 
Last edited by a moderator:
nimekupaga jumla jumla huyo, tena sitaleta wivu
labda akikukabidhi hati za yale majumba na magari alizonipora ndo nitakuja juu hivi hivi aka.

Haya mkwe.
Ila P'se usirushe ngumi tu.
Mana naona unaanza ukali wako.
 
Wakishakukataa wote uje kwangu (yule mwanangu anaenda ulaya kusoma usijali),
najua mi na Bishanga tutakaa miezi kadhaa tu
nitakuwa nakungojea.

Umeula wa Chuya,
kwa uvivu wa kuchagua Mkwe.
Yani hapa ndo Alfa na Omega.
Tushalishana Yamini na tukifa nitazikwa nao ktk Coffin moja na Kaburi moja.
 
Baa Mpya hapahuu kwakuwa hamna vyumba vya kulalamo wageni

Wee!!!
Fataki we!
Unataka uni'sulubu'?
Kwani me nataka Chumba?
Nasikia Issa Mwajiri kaoa mke wa 3,
wewe unasubiri nini?
Hima,kaoe mke wa 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…