Mikakati katika Kuanzisha JF ChitChat PARTYYY..!!!!!

Hakuna anayependa kuogelea jamani??
 
Mi nilikupa tahadhari mapema.
waangalie hawa watu huwa wanakwenda hukoooo, then wanarudi na maelezo kibao,
unatakiwa ukubali yote tena uwe mvumilivu.

Kama unahitaji kurudiana nae sema.
Sio unajibaraguza,kakuchokoza nini?
 
Mnafanya lini nije kuhudhuria?
Tarehe 6 Oct ila tutakuwa nje ya mji kuleeeeee pembezoni kula raha kidogo siunajua mambo ni maraha mwanzo mwisho! Arushaone popote ulipo kijana niko A town tayari
 
Last edited by a moderator:
uwekaji hazina nakabithi kwa ''WALET YANGU'' over.
 
Njoon mosh.,af 2taifanyia Mt. Kilimanjaro..a ha ha ha ha..mcsahau makot mazito eh..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…