Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
ACHA UJUAJI MKUU, , KWA CCM HII NA TUME YAKE YA UCHAGUZI, HATA BABA WA TAIFA NDIO ANGEFUFUKA NA KUA MGOMBEA WA CHADEMA, ASINGESHINDA !!
NJIA PEKEE YA UPINZANI KUSHINDA KWA HAKI NA KUPATA WANACHOSTAHILI NI LAZIMA KWANZA YAFANYIKE MABADILIKO YA MFUMO WA UCHAGUZI.
KUHUSU CCM, Hawa wameshachokwa yaan CCM hata ifanye nn, imeshashokwa na watu .
CHADEMA inamiliki na kutawala siasa za Tanganyika kwa asilimia 99
Achana na rekodi zote za nyuma.. Chukua za hivi karibuni Uchaguzi wa mwenyekiti wa chama.. Mijadala kabla, askari na baada ya uchaguzi Kampeni ya NO REFORMS NO ELECTION.. ilipozinduliwa, mikutano iliyofuatia na mwitikio wa wananchi wa kada zote Kukamatwa kwa mwenyekiti akiwa kwenye mkutano wa...