PreGE2025 Mikakati ya Ushindi kwa Vyama vya Siasa katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
 
ACha upumbavu, Rudi kijijini kwenu kalime, utakuwa upinde mda SI mrefu
Nadhani umeshakua upinde ndio maana unawaza upinde. Okay, kulima ni ajira na mimi ni mkulima.... Wacha makasiriko na kudandia mada ambazo hauna uwezo nazo. πŸ˜€
 
Hizi theories kazitoe kwenye magroup ya wanachuo ambao bado mpo kwenye kwenye mipango ya serikali ya boom!! Sio sehem ya watu WAPAMBANAJI na tunaochukia mifumo dhalimu!!.
Unao uhuru wa maoni yako. Hongera kwa kuwaza tofauti. 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…